Ukuaji wa lugha ya Kiswahili: Neno Mbashara

Ukuaji wa lugha ya Kiswahili: Neno Mbashara

Ni siku nyingine tena ... Mungu tujalie uzima, afya, nguvu, hekima, busara na kuyatimiza malengo yetu ....

Kiswahili kama lugha nyingine kina sifa zifuatazo:-

a) kuzaliwa
b) kukua
c) kufa

Maneno mapya yaingiapo katika matumizi ya kila siku ama mara nyingi ( frequently ) ndo kukua kwa lugha . Lakini neno lapaswa thibitishwa na BAKITA ili liingie rasmi katika matumizi.

Swali: Maneno hayo tajwa hapo juu yana maana gani? .... Je yanatambuliwa na yameshathibishwa na BAKITA kutumika rasmi?
 
Shilawadu ni kifupi kirefu chake ni: Shilika LA wambea duniani (shilawadu)
Kwahiyo umbea ndio umezaa shilawadu
Aaaaaaahaaaaaa kumbe .... wambea nao wameanzisha shirika [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] makubwa
 
SHILAWADU ni kijiji kimoja huko Bangladeshi ambacho kiko katikati ya mapori ya miti ya ukwaju { tamarindus indicus}
 
SHILAWADU ni kijiji kimoja huko Bangladeshi ambacho kiko katikati ya mapori ya miti ya ukwaju { tamarindus indicus}
Asante kwa taarifa. Je matumizi ya kila siku ya wa- tz kuhusu neno SHILAWADU humaanisha pia kijiji nchini Bangladesh kilichoko katikati ya mapori ya miti ya ukwaju?
 
Back
Top Bottom