Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Swali zuri mkuuAsante kwa taarifa. Je matumizi ya kila siku ya wa- tz kuhusu neno SHILAWADU humaanisha pia kijiji nchini Bangladesh kilichoko katikati ya mapori ya miti ya ukwaju?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali zuri mkuuAsante kwa taarifa. Je matumizi ya kila siku ya wa- tz kuhusu neno SHILAWADU humaanisha pia kijiji nchini Bangladesh kilichoko katikati ya mapori ya miti ya ukwaju?
Tuko pamoja mamiiSwali zuri mkuu
Sio lazima kwani yale kama utajiju, yalithibitishwa?
Nini chimbuko ( etymology) ya neno mubashara? Au limeibuka kama majina ya vimbunga?Kwa Kiswahili ni mubashara
Naona Uzi wako umeunganishwa na mada nyingine kabisaMaana naliona sana kwenye RUNINGA kitu kikiwa kinafanyika kwa wakari uliopo
Sasa usahihi wake kwa lugha yetu ya kiswahili lina maana halisi na jambo lenyewe au lina ufumbuzi zaidi ?
Aulizae anataka kujua
Hapana mkuu lilikuwepo Ila tu limekua maarufu hivi karibuni..limetokana na neno la kiarabuNini chimbuko ( etymology) ya neno mubashara? Au limeibuka kama majina ya vimbunga?