Ukuaji wa lugha ya Kiswahili: Neno Mbashara

Ukuaji wa lugha ya Kiswahili: Neno Mbashara

Jana tuliskia wakati mh Rais magufuli akiwa amempigia simu diamond na wakaongea nae mubashara kupitia cloudsfm, nilisikiliza maongezi yao, baada ya diamond kumueleza kuwa awasaidie njia nzuri ya kulipia kodi kwani yeye pia ni mlipaji kodi mzuri, mwisho rais kamwambia nimekuskia, na nakupongeza sana uzidi kuitangaza nch yetu katika masuala ya mziki, na nawapongeza wanamuziki wote hata wale wanaoigiza nawapenda sana wale,, shilawadu nk,
swali je mh rais anajua maana ya jina hili?
Kwa uelewa wangu nimejua kuwa mh rais anajua shilawadu ni kikundi cha kuigiza

ni kweli hiki ni kikundi cha kuigiza kwenye tv?
mwenye uelewa na hawa shilawadu plz atuambie wanafanya nini? na hata boss wao pia sio mbaya!
ili tujue kama Mh Rais anawajua!


nawasilisha..!
 
Rais jana amepiga simu Clouds, pamoja na mambo mengine amesema anaipenda sana SHILAWADU (Shirika la Wambeya Duniani).
 
Mubashara - Ni Live
SHILAWADU - Ni SHIRIKA LA WAMBEA DUNIANI founder akiwa ni Soudy Brown mtangazaj wa clouds fm
 
Shilawadu = Shirika La Wambea Duniani

Mubashara = neni sahihi la kiswahili likiwa na maana LIVE... mfano mpira unaoneshwa live/mubashara kwenye TV
 
Back
Top Bottom