Ukubwa gani wa madirisha ambao hupendezesha nyumba?

Ukubwa gani wa madirisha ambao hupendezesha nyumba?

Ally780

Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
23
Reaction score
23
Habari wadau Kama nilivyoeleza hapo juu naomba ushaur juu ya vipimo vizur vya madirisha makubwa yenye kuifanya nyumba iwe na mwonekano mzur yenye kuvutia.

Wapo walionishaur niweke ft 5 yaani mita 1.7 wapo wengine wamenishaur ft6/mita 2 nawengine wamenishaur niweke madirisha mawili mawili ya ft 3 kwa kila panapohitajika.

Nawaonbeni ushaur wa kitaalam Ni yapi hasa madirisha mazur ambayo huifanya nyumba iwe na mvuto.
 
Habar wadau Kama nilivyoeleza hapo juu naomba ushaur juu ya vipimo vizur vya madirisha makubwa yenye kuifanya nyumba iwe na mwonekano mzur yenye kuvutia...
Futi 5 sio sawa na mita 1.7

Madirisha mazuri na yatayopendeza yawe na urefu wa futi 7(course 8) na yawe na upana wa futi 5(sawa na mita 1.5).

Uliza swali lolote la ujenzi nitakujibu kitaalamu zaidi.

Mimi ni contractor niliyeshindikana
 
Urefu fut 5 na upan fut 5.5+ had fut6
HAKUNA nyumba ya kisasa(Sasa hivi) ambayo dirisha litakuwa na urefu wa futi 5
Kumbuka nyumba nyingi zinazojengwa sasa kutoka chini mpaka kwenye lintel(lenta) zinakuwa na course 11
Urefu wa futi 5 ni sawa na course 6. Yaani madirisha yaanzia baada ya course ya 5 . Hiyo kwa Sasa haipo, wengi kama sio wote sasa hivi wanaanzia kukata dirisha course ya 4, na dirisha litakuwa na urefu wa course 7 ambayo ni sawa na futi 6 (mita1.8)
Kuhusu upana wa futi 5.5 ,nakubali ni sahihi na reasonable
 
Futi 5 sio sawa na mita 1.7
Madirisha mazuri na yatayopendeza yawe na urefu wa futi 7(course 8) na yawe na upana wa futi 5(sawa na mita 1.5)
Uliza swali lolote la ujenzi nitakujibu kitaalamu zaidi.
Mimi ni contractor niliyeshindikana
Naomba namba zako nikutafute private
 
Nina kiwanja changu 30*20 nahitaji kujenga vyumba 3 choo master bedroom
utachukuwa tofali ngapi
Nipe vitu vya mchanganua vyakupiga msingi hesabu yake

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Siwezi kusema utachukua Tofali ngapi ikiwa sijaiona ramani.
Weka ramani hapa , faster tu nakuambia mwanzo hadi mwisho.
Kwa vyovyote vile Kuna ramani za watu watatu
  • Masikini
  • Average
  • Tajiri
Sijajua wewe unaangukia wapi hapo. Maana nyumba ya vyumba vitatu ya MO ni lazima iwe tofauti na nyumba ya vyumba vitatu ya mwalimu wa shule ya Msingi somangira
 
Pia itategemea na jinsi kiwanja kilivyo, matharani kama pana mwinuko, bonde, majimaji au pakavu n.k

aina ya udongo, mfinyanzi au mchanga n.k

Je kimepimwa au hakijapimwa?

Baadhi ya nchi huwa inategemea na mipangomiji.

Yani utatakiwa kujenga ku-abide na kile kilipangwa na mipango miji husika.

Huwezi jenga Banda wakati mipango miji wamepanga kujengwa majengo ya ghorofa kibali cha ujenzi hawatakupa kwa wenzetu ambao nchi zao zimejipanga na hakuna urasimu wala mazongemazonge kama bongo!
 
Nina kiwanja changu 30*20 nahitaji kujenga vyumba 3 choo master bedroom
utachukuwa tofali ngapi
Nipe vitu vya mchanganua vyakupiga msingi hesabu yake

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Sometime swali lako alijaonyesha kama upo serious Ni vyema uweke Raman yenye vipimo utasaidiwa unless you are joking with construction industry my friend.
 
Habar wadau Kama nilivyoeleza hapo juu naomba ushaur juu ya vipimo vizur vya madirisha makubwa yenye kuifanya nyumba iwe na mwonekano mzur yenye kuvutia.

Wapo walionishaur niweke ft 5 yaani mita 1.7 wapo wengine wamenishaur ft6/mita 2 nawengine wamenishaur niweke madirisha mawili mawili ya ft 3 kwa kila panapohitajika.

Nawaonbeni ushaur wa kitaalam Ni yapi hasa madirisha mazur ambayo huifanya nyumba iwe na mvuto.
... kimo cha dirisha is so limited kwa sababu kinakuwa controlled na idadi ya courses za tofali. The minimum ni courses 4 na maximum ni courses 7 endapo nyumba yako overall height ni courses 12/13 za tofali plus beam. Kwa mtazamo huo, vipimo sahihi vya kimo cha dirisha ni kama hivi:-

1. Courses 4: 0.75 x 4 = 3.00 ft
2. Courses 5: 0.75 x 5 = 3.75 ft
3. Courses 6: 0.75 x 6 = 4.50 ft
4. Courses 7: 0.75 x 7 = 5.25 ft

Note: upana wa tofali ni 9'' = 9/12 = 0.75 ft. Vipimo unavyoweza kucheza navyo kwa size yako mwenyewe ni vya upana sio kimo. Chagua mwenyewe.
 
Asante mkuu umeeleweka
 
Back
Top Bottom