Ukubwa gani wa madirisha ambao hupendezesha nyumba?

Uliza maswali yote hapahapa nitakujibu kwa upana zaidi, uliza swali lolote kuhusu unenzi. Mimi ni contractor niliyeshindikana
Namba humu jf siwezi kuitoa kwa mtu yoyote.
Mfano mtu ameamua kufanya kazi na wewe nje ya mkoa, je wewe kama msimamizi wa mradi huwa unawapata vipi mafundi wazuri ikiwa wewe ni mgeni katika mkoa huo?.
 
Mafundi wanasafirishwa. Vibarua wanapatikana huko huko
 
Back
Top Bottom