Mi ningemshauri amalizie hiyo nusu iwe 6*6Sebleni weka Futi 6*6
Kwenye vyumba weka 6*5
Futi 5 sio sawa na mita 1.7Habar wadau Kama nilivyoeleza hapo juu naomba ushaur juu ya vipimo vizur vya madirisha makubwa yenye kuifanya nyumba iwe na mwonekano mzur yenye kuvutia...
HAKUNA nyumba ya kisasa(Sasa hivi) ambayo dirisha litakuwa na urefu wa futi 5Urefu fut 5 na upan fut 5.5+ had fut6
sishauri madirisha yawe square ( urefu na upana sawa)Mi ningemshauri amalizie hiyo nusu iwe 6*6
Naomba namba zako nikutafute privateFuti 5 sio sawa na mita 1.7
Madirisha mazuri na yatayopendeza yawe na urefu wa futi 7(course 8) na yawe na upana wa futi 5(sawa na mita 1.5)
Uliza swali lolote la ujenzi nitakujibu kitaalamu zaidi.
Mimi ni contractor niliyeshindikana
Uliza maswali yote hapahapa nitakujibu kwa upana zaidi, uliza swali lolote kuhusu unenzi. Mimi ni contractor niliyeshindikanaNaomba namba zako nikutafute private
We jamaa nimechka sana aiseeweka vyovyote hakikisha muizi hapiti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weka vyovyote hakikisha muizi hapiti
Nina kiwanja changu 30*20 nahitaji kujenga vyumba 3 choo master bedroomweka vyovyote hakikisha muizi hapiti
Na kama tutaenda vizur Bassi tutakuwa pamoja kwenye ujenzi Ili kila kitu kiende swUliza maswali yote hapahapa nitakujibu kwa upana zaidi, uliza swali lolote kuhusu unenzi. Mimi ni contractor niliyeshindikana
Namba humu jf siwezi kuitoa kwa mtu yoyote.
daah mbona umeniqoute aseeNina kiwanja changu 30*20 nahitaji kujenga vyumba 3 choo master bedroom
utachukuwa tofali ngapi
Nipe vitu vya mchanganua vyakupiga msingi hesabu yake
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Siwezi kusema utachukua Tofali ngapi ikiwa sijaiona ramani.Nina kiwanja changu 30*20 nahitaji kujenga vyumba 3 choo master bedroom
utachukuwa tofali ngapi
Nipe vitu vya mchanganua vyakupiga msingi hesabu yake
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Siwezi kusema utachukua Tofali ngapi ikiwa sijaiona ramani.
Weka ramani hapa , faster tu nakuambia mwanzo hadi mwisho.
Kwa vyovyote vile Kuna ramani za watu watatu
Sijajua wewe unaangukia wapi hapo. Maana nyumba ya vyumba vitatu ya MO ni lazima iwe tofauti na nyumba ya vyumba vitatu ya mwalimu wa shule ya Msingi somangira
- Masikini
- Average
- Tajiri
Sometime swali lako alijaonyesha kama upo serious Ni vyema uweke Raman yenye vipimo utasaidiwa unless you are joking with construction industry my friend.Nina kiwanja changu 30*20 nahitaji kujenga vyumba 3 choo master bedroom
utachukuwa tofali ngapi
Nipe vitu vya mchanganua vyakupiga msingi hesabu yake
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
... kimo cha dirisha is so limited kwa sababu kinakuwa controlled na idadi ya courses za tofali. The minimum ni courses 4 na maximum ni courses 7 endapo nyumba yako overall height ni courses 12/13 za tofali plus beam. Kwa mtazamo huo, vipimo sahihi vya kimo cha dirisha ni kama hivi:-Habar wadau Kama nilivyoeleza hapo juu naomba ushaur juu ya vipimo vizur vya madirisha makubwa yenye kuifanya nyumba iwe na mwonekano mzur yenye kuvutia.
Wapo walionishaur niweke ft 5 yaani mita 1.7 wapo wengine wamenishaur ft6/mita 2 nawengine wamenishaur niweke madirisha mawili mawili ya ft 3 kwa kila panapohitajika.
Nawaonbeni ushaur wa kitaalam Ni yapi hasa madirisha mazur ambayo huifanya nyumba iwe na mvuto.
Asante mkuu umeeleweka... kimo cha dirisha is so limited kwa sababu kinakuwa controlled na idadi ya courses za tofali. The minimum ni courses 4 na maximum ni courses 7 endapo nyumba yako overall height ni courses 12/13 za tofali plus beam. Kwa mtazamo huo, vipimo sahihi vya kimo cha dirisha ni kama hivi:-
1. Courses 4: 0.75 x 4 = 3.00 ft
2. Courses 5: 0.75 x 5 = 3.75 ft
3. Courses 6: 0.75 x 6 = 4.50 ft
4. Courses 7: 0.75 x 7 = 5.25 ft
Note: upana wa tofali ni 9'' = 9/12 = 0.75 ft. Vipimo unavyoweza kucheza navyo kwa size yako mwenyewe ni vya upana sio kimo. Chagua mwenyewe.