Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbitiyaza mambo vipi ndugu yangu...karibu sana ukubwani mkubwa mwenzangu
Wewe mwanafunzi wangu huwezi kuwa umenitangulia hata kidogo...Karibu sana ukubwani aisee
Wenzio tulikutangulia kitambo kidogo...
marahaba mdogo wangu !za masikuMbitiyaza mambo vipi ndugu yangu...
Huna adabu...marahaba mdogo wangu !za masiku
haaaaaaaaaaa !aisee !duh !kazi ipo !hebu nitake radhi kakaHuna adabu...
Makubwa haya, yani wewe Mbitiyaza unajilinganisha umri na mimi kweli ??? Hata huogopi ???haaaaaaaaaaa !aisee !duh !kazi ipo !hebu nitake radhi kaka
Makubwa haya, yani wewe unajilinganisha umri na mimi kweli ??? Hata huogopi ???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bwahaha, eti sijaoa na bado niko chuo!! Malcom Lumumba huyo ???wewe si kuna uzi wako mmoja umeandika mika ya 2000 na.. upo chuo? sasa unataka tena intelijensia gani hapa mdogo wangu!...hujaoa bado.!lakin hutak bado kukubali !mie bado miaka' kazaa nistaafu' kila kitu(kazi nk)'
Uhenga bado kidogo.Huuuhu hallo muhenga
Ha ha ha ha haWewe mwanafunzi wangu huwezi kuwa umenitangulia hata kidogo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha haya bwana......Ha ha ha ha ha
Elimu ya siku hizi wadogo wanafundisha wakubwa.
Pamoja hahah ukiwa muhenga uniambie nikupe shikamoo yakoUhenga bado kidogo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Itabidi nizizoee tu mkuu, maana hakuna namna. Itabidi nibadilike nianze kunena busara tupu sasa.....
Wengine huwa zinawatoka mapema, lakini mimi ndiyo zimeshapiga hodi.Mvi sio ukubwa bhana mi ninazo tangu Niko std 6