Ukubwa haupigi hodi, Mvi zimeanza kunitoka kwa wingi

Ukubwa haupigi hodi, Mvi zimeanza kunitoka kwa wingi

Huwa inatokea mkuu...
Hasa pale unapokuwa umetingwa na majukumu au umekosa chapaa.
Utakuwa kama mbabu fulani hivi, kumbe chalii mdogo tu.
Kwa miaka 11, nimekuwa busy sana na kazi, hata likizo nilijifanya siendi,Saa 11.45-12.00 asubuhi nimeshafika kazini, kutoka saa 3 usiku.
 
Kwa miaka 11, nimekuwa busy sana na kazi, hata likizo nilijifanya siendi,Saa 11.45-12.00 asubuhi nimeshafika kazini, kutoka saa 3 usiku.
Duuh pole sana ndugu yangu, naelewa unachosema hapa.
Huu mchezo niliwahi kuufanya, yaani nilichakaa sana sanaaa.
Unachelewa kulala na unawahi kuamka, nakumbuka nilikaa vibaya sana kiafya.
 
Bila picha mkuu wewe bado sio babu
Nimefikiria kuleta picha leo asubuhi lakini nikaona niahirishe tu.
Hivyo mkuu wewe una ruhusa kufikiria vyovyote vile utakavyo kuhusu Malcom (Babu, katoto au kijana)
 
Back
Top Bottom