Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Hahaha ya Yesu hapana. Nailenga Mikoba ya kuhakikisha kuna roof over my head and food on my tableNina mikoba kibao mkuu, wewe unataka nikupe ipi ???
Ile ya Injili kama Yesu na Petro au ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha ya Yesu hapana. Nailenga Mikoba ya kuhakikisha kuna roof over my head and food on my tableNina mikoba kibao mkuu, wewe unataka nikupe ipi ???
Ile ya Injili kama Yesu na Petro au ???
Huwa inatokea mkuu...MI umri haujaenda sana ila nimekuwa Mzee.
You will my friend, in time.Hahaha ya Yesu hapana. Nailenga Mikoba ya kuhakikisha kuna roof over my head and food on my table
FOCUSYou will my friend, in time.
Just work hard and stay focused.
Aaaah, mimi nini mvi siyo babu bwana.Babu babuuuu, babua zako zangu unikaangie.
Kwa miaka 11, nimekuwa busy sana na kazi, hata likizo nilijifanya siendi,Saa 11.45-12.00 asubuhi nimeshafika kazini, kutoka saa 3 usiku.Huwa inatokea mkuu...
Hasa pale unapokuwa umetingwa na majukumu au umekosa chapaa.
Utakuwa kama mbabu fulani hivi, kumbe chalii mdogo tu.
Hahahahahaha!! Wenyewe wanasema mvi busara.Aaaah, mimi nini mvi siyo babu bwana.
Kuniita babu saa hizi ni kutaka kunifedhehesha bure tu.
😀😀😀😀😀
Itikia shikamoo yake nasiHahahaha, mimi siyo babu mkuu, japo umri umeenda enda kiaina.
Ndugu yangu naona umekuja kunifedhehesha hapa..Itimia shikamoo yake nasi
Mbona hata mimi ninazo sana tu, hizo busara.Hahahahahaha!! Wenyewe wanasema mvi busara.
Hilo halifichiki, mvi zimeongeza busara mara dufuMbona hata mimi ninazo sana tu.
Duuh pole sana ndugu yangu, naelewa unachosema hapa.Kwa miaka 11, nimekuwa busy sana na kazi, hata likizo nilijifanya siendi,Saa 11.45-12.00 asubuhi nimeshafika kazini, kutoka saa 3 usiku.
😀😀😀😀 Pyaar bwana!Hilo halifichiki, mvi zimeongeza busara mara dufu
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😀😀😀😀 Pyaar bwana!
Hapana...mvi ni ukubwa na ukubwa ni kuamkiwa shikamoo babuNdugu yangu naona umekuja kunifedhehesha hapa..
😀😀😀😀😀
Marahaba basi...Haya umefurahi eeh ???Hapana...mvi ni ukubwa na ukubwa ni kuamkiwa shikamoo babu
Wasalaam.
Leo nimewaza kwamba unaweza ukajihisi una muda mwingi sana na bado kijana, lakini uzee huwa haupigi hodi jamani....
Nimefikiria kuleta picha leo asubuhi lakini nikaona niahirishe tu.Bila picha mkuu wewe bado sio babu
Nimefikiria kuleta picha leo asubuhi lakini nikaona niahirishe tu.
Hivyo mkuu wewe una ruhusa kufikiria vyovyote vile utakavyo kuhusu Malcom (Babu, katoto au kijana)