Ukubwa haupigi hodi, Mvi zimeanza kunitoka kwa wingi

Eisee ukaribie si tuko wahenga tayari. Ila mshukuru Mungu kwani ukubwa wa mmvi ni sifa kuliko mtu kuwa mkubwa ukifungua kinywa watu wanafumba macho kama jiwe letu.
 
Makubwa haya, yani wewe unajilinganisha umri na mimi kweli ??? Hata huogopi ???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

wewe si kuna uzi wako mmoja umeandika mika ya 2000 na.. upo chuo? sasa unataka tena intelijensia gani hapa mdogo wangu!...hujaoa bado.!lakin hutak bado kukubali !mie bado miaka' kazaa nistaafu' kila kitu(kazi nk)'
 
Bwahaha, eti sijaoa na bado niko chuo!! Malcom Lumumba huyo ???
Sasa nimeelewa madhara ya utani wangu humu jukwaani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani kaazi kwelikweli.SMH
 
dawa ya makunyanzi nnayo,hats kama una miaka ,70 utaonekana kama una miaka 35,
we tuna lakini nikuonyeshe,

kuhusu mvi we tia rangi hizo nywele,utaonekana kama mnyamwezi kutoka New york
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…