ila zina utamu wake aisee asikwambie mtu. Hawa wake zetu wanachosha sometimes wacha tule vitu unatafuna mpk mfupa. Halafu nahisi kama umri tunaendana maana na mie nimeanza kutoka mvi kwa mbali kwenye kidevu zile kama za Dr. CheniNaah man,
I'm very content with Mrs Lumumba, kufukuzana na totoz za 20's ambazo zina umri sawa na watoto wangu siyo ishu.
Nimekununia.Jamani Espy wangu weeh, nimekumiss sana!
Meeeeeeh!!! Kwahiyo ndo nshakuwa kijana wa zamani!!!Mkuu, hatuwezi kushindana na wakati, ujana una mda mfupi sana, kuanzia 18yrs - 35yrs ni mda mfupi mno. Kufumba na kufumbua unajiona upo 30s, life is so fast. Wala hakuna sababu ya kupaka kwa sababu ndio utazidi kuziongeza.
Ni kumshukuru Muumba lakini kwa umri huo uliofikia. Mvi ni indicate that jua limeanza kuelekea saa kumi jioni then lizame.Hahaha Da' Vinci bwana.
Sasa ntakataaje matokeo ya uumbaji ???
I'm old (Japo siyo kivile) and not ashamed of it.
Just thankful to God to have made it this far maana kuna wenzangu nimesoma nao wameshatangulia mbele ya haki.
Hahaha, kutembea na vitoto kunaweza kuwaletea dharau mke na watoto wako tu,ila zina utamu wake aisee asikwambie mtu. Hawa wake zetu wanachosha sometimes wacha tule vitu unatafuna mpk mfupa. Halafu nahisi kama umri tunaendana maana na mie nimeanza kutoka mvi kwa mbali kwenye kidevu zile kama za Dr. Cheni
Wote tuko under-stress , that's what makes us human.uko under stress mkuu...
Ni kumshukuru Muumba lakini kwa umri huo uliofikia. Mvi ni indicate that jua limeanza kuelekea saa kumi jioni then lizame.
What to do?
Ili usije kua kama profesa lemutuz
-Endelea kuweka akiba ya uzeeni
-Endelea kuwa Wise and sophisticated.
-Kua na interaction na jamii inayokuzunguka
Hujavuka 35 hivyo bado upo kidogo, ila kama umegota 30 jiandae, safari ya utu uzima imeanza rasmi..teh!!Meeeeeeh!!! Kwahiyo ndo nshakuwa kijana wa zamani!!!
1.Kiberiti kimeisha
2. Kumbe na gas nayo iliisha
3. Luku zimebak unit 2
4. Baby nunua bas kifurushi hata leo jion tuangalie tamthili.
Hapa ndio nilianza kuona ukubwa
Kweli kabisa, safari ya maisha ni fupi. Kuna umri ukifika ndio unaamini kuwa maisha sio marefu kivile.Sure thing mkuu.
Yaani kama ukizubaa unaweza jikuta hujafanya kitu cha msingi.
Nimeipata mkuu shukrani sana!!..Mizigo yako niliyokutumia umeipata lakini ndugu yangu ???