Ukubwa haupigi hodi, Mvi zimeanza kunitoka kwa wingi

Ukubwa haupigi hodi, Mvi zimeanza kunitoka kwa wingi

Naah man,
I'm very content with Mrs Lumumba, kufukuzana na totoz za 20's ambazo zina umri sawa na watoto wangu siyo ishu.
ila zina utamu wake aisee asikwambie mtu. Hawa wake zetu wanachosha sometimes wacha tule vitu unatafuna mpk mfupa. Halafu nahisi kama umri tunaendana maana na mie nimeanza kutoka mvi kwa mbali kwenye kidevu zile kama za Dr. Cheni
 
Mkuu, hatuwezi kushindana na wakati, ujana una mda mfupi sana, kuanzia 18yrs - 35yrs ni mda mfupi mno. Kufumba na kufumbua unajiona upo 30s, life is so fast. Wala hakuna sababu ya kupaka kwa sababu ndio utazidi kuziongeza.
Meeeeeeh!!! Kwahiyo ndo nshakuwa kijana wa zamani!!!
 
Hahaha Da' Vinci bwana.
Sasa ntakataaje matokeo ya uumbaji ???
I'm old (Japo siyo kivile) and not ashamed of it.
Just thankful to God to have made it this far maana kuna wenzangu nimesoma nao wameshatangulia mbele ya haki.
Ni kumshukuru Muumba lakini kwa umri huo uliofikia. Mvi ni indicate that jua limeanza kuelekea saa kumi jioni then lizame.
What to do?

Ili usije kua kama profesa lemutuz
-Endelea kuweka akiba ya uzeeni
-Endelea kuwa Wise and sophisticated.
-Kua na interaction na jamii inayokuzunguka
 
ila zina utamu wake aisee asikwambie mtu. Hawa wake zetu wanachosha sometimes wacha tule vitu unatafuna mpk mfupa. Halafu nahisi kama umri tunaendana maana na mie nimeanza kutoka mvi kwa mbali kwenye kidevu zile kama za Dr. Cheni
Hahaha, kutembea na vitoto kunaweza kuwaletea dharau mke na watoto wako tu,
Maana kuna siku yatanuka tu halafu ushindwe kuwa na pakufichia uso wako 😀😀😀
Kuna jamaa yangu alimpa mimba rafiki wa binti yake, mpaka leo hii yule binti hataki kabisa kumwona jamaa yangu.
 
1.Kiberiti kimeisha
2. Kumbe na gas nayo iliisha
3. Luku zimebak unit 2
4. Baby nunua bas kifurushi hata leo jion tuangalie tamthili.

Hapa ndio nilianza kuona ukubwa
 
Ni kumshukuru Muumba lakini kwa umri huo uliofikia. Mvi ni indicate that jua limeanza kuelekea saa kumi jioni then lizame.
What to do?

Ili usije kua kama profesa lemutuz
-Endelea kuweka akiba ya uzeeni
-Endelea kuwa Wise and sophisticated.
-Kua na interaction na jamii inayokuzunguka

Wise word, wise words.
They are humbly appreciated comrade.
 
1.Kiberiti kimeisha
2. Kumbe na gas nayo iliisha
3. Luku zimebak unit 2
4. Baby nunua bas kifurushi hata leo jion tuangalie tamthili.

Hapa ndio nilianza kuona ukubwa

Ukiona unaangaliwa na watu hivyo basi hata kama huna mvi wewe ushakuwa mkubwa,
Mambo za kukuesha Bar unapunguza kabisa, unakuwa na heshima kwenye matumizi.
Hapo sasa bado haujafika miezi ya Disembe na Januari unanaza kumbushwa kuhusu ada za watoto.
Hapo lazima akili ikukae sawia
 
Back
Top Bottom