Ningevaa jezi ya Yanga ile ya njano ingetoshaKwa hiyo ungevaa kijola cha mapokezi?
We jifariji tuUnaumia saaana kwa ubora wa Simba,kunywa sumu ufe tu
Kwa hiyo hilo ndilo linawafanya msifanye kazi zenu za kuosha "vyombo" na kushinda kutwa kucha kuanzisha nyuzi kuhusu Simba?Hivi,mara ya mwisho kuielezea utopolo unakumbuka ilikuwa lini?Uswahili mwingi kama mnachambua mchele.Ningevaa jezi ya Yanga ile ya njano ingetosha
Msiridhike na kuambiwa eti nyie wakubwa sijui giant,no!
Fikeni nusu au fainali
Ata mpate kikombe basi
Huna ugiant weweKwa hiyo hilo ndilo linawafanya msifanye kazi zenu za kuosha "vyombo" na kushinda kutwa kucha kuanzisha nyuzi kuhusu Simba?Hivi,mara ya mwisho kuielezea utopolo unakumbuka ilikuwa lini?Uswahili mwingi kama mnachambua mchele.
Umeelewa ulichoulizwa au bado umemkasirikia Luc Eimel?Huna ugiant wewe
Leta kombe hapa nchini
Robo robo za nini?
Subiri tuanze makundi tuone hizo droo zitakupeleka wapi
Mambo ya mbumbumbu sijui manyani hapa ni irrelevantUmeelewa ulichoulizwa au bado umemkasirikia Luc Eimel?
Yanga na Ihefu wameleta kombe gani?Usitetemeke ukiona Ihefu.Mambo ya mbumbumbu sijui manyani hapa ni irrelevant
Ifikie kipindi wote Simba na Yanga tuache kujificha kwenye hivyo vichaka
Tulete makombe nyumbani na siyo kulingia ugiant hewa
Naona bado upo kwenye mkumbo ule uleYanga na Ihefu wameleta kombe gani?Usitetemeke ukiona Ihefu.
Kwa nini Ihefu iachwe?Ni makwenzi ya machoni tu hadi mvimbe.Naona bado upo kwenye mkumbo ule ule
Sasa si hata uyo Ihefu tuligawana point naye point mdimu uliopita na bado tukawa mabingwa
Cha ajabu nini hapo?
Kwahiyo we ukimfunga hiyo kesho ndo unakuwa giant wa Tanzania?
Au ndo utahama toka pot 2 kwenda pot 1 CAF?
Aahaaah
Haya mambo ya Ihefu waachie mashabiki maandazi
Simba na Yanga ili tupate ugiant wa ukweli tulete makombe nyumbani
Haya mweke pot 2 mbele ya YangaKwa nini Ihefu iachwe?Ni makwenzi ya machoni tu hadi mvimbe.
Ihefu na vitimu vinginevingine ni lini walifika robo fainali ya AFL?Haya mweke pot 2 mbele ya Yanga
Aahaaa
Haifuti ukweli kuwa wewe huna ugiant wowote
Robo robo hazitokufikisha popote
Ilo muulize msemaji wa IhefuIhefu na vitimu vinginevingine ni lini walifika robo fainali ya AFL?
AFL unaijua wewe?Au ulikuwa unaichungulia tu kwenye tv ya inchi Saba?Ilo muulize msemaji wa Ihefu
Robo robo za nini kila mwaka?
Hii ambayo umetolewa ulipoanzia?AFL unaijua wewe?Au ulikuwa unaichungulia tu kwenye tv ya inchi Saba?
Yanga na Ihefu walianzia wapi?Hii ambayo umetolewa ulipoanzia?
Jibu swaliYanga na Ihefu walianzia wapi?
Jibu swali:Mliwahi kucheza ligi hiyo lini?Jibu swali
Hii ambayo umetolewa ulipoanzia?
Ilo waulize wenye kombeJibu swali:Mliwahi kucheza ligi hiyo lini?
Unataka haki ya kupata jibu huku wajibu wa kukabili maswali huna?Ilo waulize wenye kombe
Nakuuliza na wewe AFL ndo hili
kombe ambalo umetolewa ulipoanzia?
Maswali yako yanajijibu yenyeweUnataka haki ya kupata jibu huku wajibu wa kukabili maswali huna?