"Ukubwa" na "Ubora" maneno yanayotumiwa vibaya na wanazi wa Simba

Ningevaa jezi ya Yanga ile ya njano ingetosha

Msiridhike na kuambiwa eti nyie wakubwa sijui giant,no!

Fikeni nusu au fainali

Ata mpate kikombe basi
Kwa hiyo hilo ndilo linawafanya msifanye kazi zenu za kuosha "vyombo" na kushinda kutwa kucha kuanzisha nyuzi kuhusu Simba?Hivi,mara ya mwisho kuielezea utopolo unakumbuka ilikuwa lini?Uswahili mwingi kama mnachambua mchele.
 
Huna ugiant wewe

Leta kombe hapa nchini

Robo robo za nini?

Subiri tuanze makundi tuone hizo droo zitakupeleka wapi
 
Yanga na Ihefu wameleta kombe gani?Usitetemeke ukiona Ihefu.
Naona bado upo kwenye mkumbo ule ule

Sasa si hata uyo Ihefu tuligawana point naye point mdimu uliopita na bado tukawa mabingwa

Cha ajabu nini hapo?

Kwahiyo we ukimfunga hiyo kesho ndo unakuwa giant wa Tanzania?

Au ndo utahama toka pot 2 kwenda pot 1 CAF?

Aahaaah

Haya mambo ya Ihefu waachie mashabiki maandazi

Simba na Yanga ili tupate ugiant wa ukweli tulete makombe nyumbani
 
Kwa nini Ihefu iachwe?Ni makwenzi ya machoni tu hadi mvimbe.
 
Back
Top Bottom