"Ukubwa" na "Ubora" maneno yanayotumiwa vibaya na wanazi wa Simba

Hongera kwa uchambuzi kuna watu watatoka povu hapa
 
Kwa takwimu hizi upo sahihi kabisa
 
Kwani nyie hamn connection na CAF๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Usihangaike nao sana.Waache waandike magazeti,wewe unajibu kwa mstari mmoja wenye ukweli na kuwakera tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ