Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Onesha makombe uliyoleta wewe.Maswali yako yanajijibu yenyewe
Hoja ya msingi
Ugiant hauji kiwepesi
Tulete makombe nyumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Onesha makombe uliyoleta wewe.Maswali yako yanajijibu yenyewe
Hoja ya msingi
Ugiant hauji kiwepesi
Tulete makombe nyumbani
Ebu soma tena replies zanguOnesha makombe uliyoleta wewe.
Ilo wailize weweKawaulize CAF timu kubwa Afrika mashariki na kati ni ipi.......ukishapata jibu mwiko uliong'angania nyuma utauchomoa
Kwa nini uoneshe kuikazania Simba badala ya kung'oa mwiko hapo Yanga kwenye nyuma?Ebu soma tena replies zangu
Wote Simba na Yanga walete makombe nyumbani
Mkuu ebu soma vizuri ninachoandika ili tuwe na mjadala mziri
AahàaaaaKwa nini uoneshe kuikazania Simba badala ya kung'oa mwiko hapo Yanga kwenye nyuma?
Hongera kwa uchambuzi kuna watu watatoka povu hapaHvi karibuni maneno haya yamekuwa yakitumika sana na mashabiki pamoja na baadhi ya maafisa wa vilabu vya soka Nchini.
"Timu yetu KUBWA Africa. WAKUBWA Africa tumekutana. Sisi ni miongoni mwa timu KUBWA (8) Africa," nk ....
Nini maana ya timu kubwa ?!
◉ Makombe / Mataji.
◉ Uwezo mzuri wa kiuchumi.
◉ Fan base.
Hivyo vitatu hapo juu ndivyo vigezo vinavyoipa timu UKUBWA kwa kuzingatia eneo ambalo timu ipo na historia.
Target ya mchezo wowote Duniani ni Makombe / Mataji. Hiki ndicho kigezo KIKUU kinachoipa klabu UKUBWA. Klabu inaweza isiwe na hivyo vingine (Uchumi & Fan base) lakini kama inashinda Makombe mengi kigezo hicho kinatosha kuipa klabu UKUBWA and vice versa is true.
Uwezo mzuri wa kiuchumi na Ukubwa wa Fan-base ni cement inayojenga UKUBWA wa klabu unaposhinda kombe.
Kwa maana hiyo, Simba na Yanga ni klabu KUBWA Tanzania na East Africa kwa sababu zimeshinda makombe mengi lakini sio klabu KUBWA Africa. Wote (2) wako kwenye process ya UKUAJI, hakuna klabu KUBWA Africa Nchini Tanzania kwa sasa.
𝗨𝗕𝗢𝗥𝗔 :
Ubora mara nyingi hupimwa kwa currently form, Ranks nk .. kwa wakati huo. Timu inaweza kuwa bora ndani ya muda fulani lakini isiwe kubwa katika eneo husika.
Mfano : Simba na Petro Atletico ni timu zilizofanya vizuri kwenye michuano ya (CAF) currently kwa kuingia mara kadhaa robo fainali lakini sio timu KUBWA kwa kuwa hawana kombe lolote la Africa.
Belgium iliwahi kukaa miaka (3) mfululizo katika nafasi ya (1) Duniani kwenye Ranks za (FIFA) lakini huwezi kusema Belgium ilikuwa timu KUBWA kulio Brazil [emoji1054]
Timu zilizotwaa ubingwa wa Africa :
𝗖𝗵𝗮𝗺𝗽𝗶𝗼𝗻𝘀 𝗹𝗲𝗮𝗴𝘂𝗲 :
[emoji471] 11 — Al Ahly Cairo [emoji1093]
[emoji471] 5 — TP Mazembe [emoji1078]
[emoji471] 5 — Zamalek [emoji1093]
[emoji471] 4 — Esperance [emoji1249]
[emoji471] 3 — Wydad Athletic [emoji1173]
[emoji471] 3 — Raja Athletic [emoji1173]
[emoji471] 3 — Canon Uaounde [emoji1062]
[emoji471] 3 — Hafia [emoji1119]
[emoji471] 2 — ES Setif [emoji1249]
[emoji471] 2 — Enyimba [emoji1184]
[emoji471] 2 — JS Kabylie [emoji1026]
[emoji471] 2 — Asante Kotoko [emoji1110]
[emoji471] 1 — Mamelodi Sundowns [emoji1221]
[emoji471] 1 — Etoile du Sahel [emoji1249]
[emoji471] 1 — Hearts of OAK [emoji1110]
[emoji471] 1 — ASEC Mimosas [emoji1081]
[emoji471] 1 — Orlando Pirates [emoji1221]
[emoji471] 1 — Club Africain [emoji1249]
[emoji471] 1 — FAR Rabat [emoji1173]
[emoji471] 1 — Mouloudia [emoji1026]
[emoji471] 1 — CARA Brazzaville [emoji1077]
[emoji471] 1 — AS Vita cub [emoji1078]
[emoji471] 1 — Ismailly [emoji1093]
[emoji471] 1 — Stade d'Abidjan [emoji1081]
𝗖𝗼𝗻𝗳𝗲𝗱𝗲𝗿𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻𝘀 𝗰𝘂𝗽 :
[emoji471] 4 — Etoile du Sahel [emoji1249]
[emoji471] 4 — CS Sfaxien [emoji1249]

[emoji471] 3 — JS Kabylie [emoji1026]
[emoji471] 2 — RS Berkane [emoji1173]
[emoji471] 2 — TP Mazembe [emoji1078]
[emoji471] 1 — USM Alger [emoji1026]
[emoji471] 1 — Al Ahly [emoji1093]
[emoji471] 1 — Zamalek [emoji1093]
[emoji471] 1 — AC Leopard [emoji1077]
[emoji471] 1 — Mas Fes [emoji1173]
[emoji471] 1 — FUS Rabat [emoji1173]
[emoji471] 1 — Stade Malien [emoji1159]
[emoji471] 1 — Esperance [emoji1249]

[emoji471] 1 — Stella club d'Abidjan [emoji1081]
[emoji471] 1 — KAC Marrakech.
𝗥𝗲𝗺𝗲𝗺𝗯𝗲𝗿 :
Simba SC alichaguliwa kwenye (AFL) kwa sababu ya Connections alizozitengeneza (CEO) Barbara Gonzalez huko (CAF) + currently form na sio kwa sababu ya UKUBWA kama inavyohubiriwa.
Ingekuwa UKUBWA au Ranks basi Zamalek [emoji1093], Raja Athletic [emoji1173], Etoile du Sahel [emoji1249], JS Kabylie [emoji1026] wenye makombe wangeshiriki.. Au Raja wa (5), Zamalek (6) RS Berkane (7), CR Belouizdad (8) wangejumuishwa kwa kuwa wana Rank nzuri zaidi kuliko Simba (9), TP Mazembe (13) na Enyimba (33).
In short (AFL) hawakuzingatia Ranks au Ukubwa kuchagua timu, walialika timu kutokana na Ukanda na connections walizonazo na baadhi ya viongozi wa timu.
Ili uwe timu kubwa, shinda kombe, kinyume chake ni kelele tu.
Dawa chungu ndio inatibu [emoji381]
AahaaaHongera kwa uchambuzi kuna watu watatoka povu hapa
Kwa takwimu hizi upo sahihi kabisaHvi karibuni maneno haya yamekuwa yakitumika sana na mashabiki pamoja na baadhi ya maafisa wa vilabu vya soka Nchini.

'Connection' mpaka uwe nazo lazima uwe kwanza na 'connection'.In short (AFL) hawakuzingatia Ranks au Ukubwa kuchagua timu, walialika timu kutokana na Ukanda na connections walizonazo na baadhi ya viongozi wa timu.
MwakaroboUnaumia saaana kwa ubora wa Simba,kunywa sumu ufe tu
Kwani nyie hamn connection na CAF🤣🤣Hvi karibuni maneno haya yamekuwa yakitumika sana na mashabiki pamoja na baadhi ya maafisa wa vilabu vya soka Nchini.
"Timu yetu KUBWA Africa. WAKUBWA Africa tumekutana. Sisi ni miongoni mwa timu KUBWA (8) Africa," nk ....
Nini maana ya timu kubwa ?!
◉ Makombe / Mataji.
◉ Uwezo mzuri wa kiuchumi.
◉ Fan base.
Hivyo vitatu hapo juu ndivyo vigezo vinavyoipa timu UKUBWA kwa kuzingatia eneo ambalo timu ipo na historia.
Target ya mchezo wowote Duniani ni Makombe / Mataji. Hiki ndicho kigezo KIKUU kinachoipa klabu UKUBWA. Klabu inaweza isiwe na hivyo vingine (Uchumi & Fan base) lakini kama inashinda Makombe mengi kigezo hicho kinatosha kuipa klabu UKUBWA and vice versa is true.
Uwezo mzuri wa kiuchumi na Ukubwa wa Fan-base ni cement inayojenga UKUBWA wa klabu unaposhinda kombe.
Kwa maana hiyo, Simba na Yanga ni klabu KUBWA Tanzania na East Africa kwa sababu zimeshinda makombe mengi lakini sio klabu KUBWA Africa. Wote (2) wako kwenye process ya UKUAJI, hakuna klabu KUBWA Africa Nchini Tanzania kwa sasa.
𝗨𝗕𝗢𝗥𝗔 :
Ubora mara nyingi hupimwa kwa currently form, Ranks nk .. kwa wakati huo. Timu inaweza kuwa bora ndani ya muda fulani lakini isiwe kubwa katika eneo husika.
Mfano : Simba na Petro Atletico ni timu zilizofanya vizuri kwenye michuano ya (CAF) currently kwa kuingia mara kadhaa robo fainali lakini sio timu KUBWA kwa kuwa hawana kombe lolote la Africa.
Belgium iliwahi kukaa miaka (3) mfululizo katika nafasi ya (1) Duniani kwenye Ranks za (FIFA) lakini huwezi kusema Belgium ilikuwa timu KUBWA kulio Brazil [emoji1054]
Timu zilizotwaa ubingwa wa Africa :
𝗖𝗵𝗮𝗺𝗽𝗶𝗼𝗻𝘀 𝗹𝗲𝗮𝗴𝘂𝗲 :
[emoji471] 11 — Al Ahly Cairo [emoji1093]
[emoji471] 5 — TP Mazembe [emoji1078]
[emoji471] 5 — Zamalek [emoji1093]
[emoji471] 4 — Esperance [emoji1249]
[emoji471] 3 — Wydad Athletic [emoji1173]
[emoji471] 3 — Raja Athletic [emoji1173]
[emoji471] 3 — Canon Uaounde [emoji1062]
[emoji471] 3 — Hafia [emoji1119]
[emoji471] 2 — ES Setif [emoji1249]
[emoji471] 2 — Enyimba [emoji1184]
[emoji471] 2 — JS Kabylie [emoji1026]
[emoji471] 2 — Asante Kotoko [emoji1110]
[emoji471] 1 — Mamelodi Sundowns [emoji1221]
[emoji471] 1 — Etoile du Sahel [emoji1249]
[emoji471] 1 — Hearts of OAK [emoji1110]
[emoji471] 1 — ASEC Mimosas [emoji1081]
[emoji471] 1 — Orlando Pirates [emoji1221]
[emoji471] 1 — Club Africain [emoji1249]
[emoji471] 1 — FAR Rabat [emoji1173]
[emoji471] 1 — Mouloudia [emoji1026]
[emoji471] 1 — CARA Brazzaville [emoji1077]
[emoji471] 1 — AS Vita cub [emoji1078]
[emoji471] 1 — Ismailly [emoji1093]
[emoji471] 1 — Stade d'Abidjan [emoji1081]
𝗖𝗼𝗻𝗳𝗲𝗱𝗲𝗿𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻𝘀 𝗰𝘂𝗽 :
[emoji471] 4 — Etoile du Sahel [emoji1249]
[emoji471] 4 — CS Sfaxien [emoji1249]
[emoji471] 3 — Raja Athletic [emoji1173]
[emoji471] 3 — JS Kabylie [emoji1026]
[emoji471] 2 — RS Berkane [emoji1173]
[emoji471] 2 — TP Mazembe [emoji1078]
[emoji471] 1 — USM Alger [emoji1026]
[emoji471] 1 — Al Ahly [emoji1093]
[emoji471] 1 — Zamalek [emoji1093]
[emoji471] 1 — AC Leopard [emoji1077]
[emoji471] 1 — Mas Fes [emoji1173]
[emoji471] 1 — FUS Rabat [emoji1173]
[emoji471] 1 — Stade Malien [emoji1159]
[emoji471] 1 — Esperance [emoji1249]
[emoji471] 1 — FAR Rabat [emoji1173]
[emoji471] 1 — Hearts of OAK [emoji1110]
[emoji471] 1 — Stella club d'Abidjan [emoji1081]
[emoji471] 1 — KAC Marrakech.
𝗥𝗲𝗺𝗲𝗺𝗯𝗲𝗿 :
Simba SC alichaguliwa kwenye (AFL) kwa sababu ya Connections alizozitengeneza (CEO) Barbara Gonzalez huko (CAF) + currently form na sio kwa sababu ya UKUBWA kama inavyohubiriwa.
Ingekuwa UKUBWA au Ranks basi Zamalek [emoji1093], Raja Athletic [emoji1173], Etoile du Sahel [emoji1249], JS Kabylie [emoji1026] wenye makombe wangeshiriki.. Au Raja wa (5), Zamalek (6) RS Berkane (7), CR Belouizdad (8) wangejumuishwa kwa kuwa wana Rank nzuri zaidi kuliko Simba (9), TP Mazembe (13) na Enyimba (33).
In short (AFL) hawakuzingatia Ranks au Ukubwa kuchagua timu, walialika timu kutokana na Ukanda na connections walizonazo na baadhi ya viongozi wa timu.
Ili uwe timu kubwa, shinda kombe, kinyume chake ni kelele tu.
Dawa chungu ndio inatibu [emoji381]
Msmu huu hawajaend kuwapokea wame zao,,,make wanajua watakutana nao soon na watakula kichapo cha mbwa mwiz🤣🤣Ungeenda ujipendekeze kabisa kwa kuipokea timu ngeni.
Ni mijitu isiyo tumia vichwa kutafakari mambo.Luc Eimel akumbukwe.Msmu huu hawajaend kuwapokea wame zao,,,make wanajua watakutana nao soon na watakula kichapo cha mbwa mwiz🤣🤣
Usihangaike nao sana.Waache waandike magazeti,wewe unajibu kwa mstari mmoja wenye ukweli na kuwakera tu.Wazee wa miaka 25 ,robo karne kufika makundi ya Champions League wana kiherehere sana.Mmeingia Champions League makundi baada ya robo karne ndio maana mnashangaa Simba kutolewa robo fainali.Sasa kipi cha aibu kuteseka miaka 25 au kutolewa robo fainali?Kupanga ni kuchagua