Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
One thing about maisha ni kuwa haya rudi nyuma...
So kama present yako leo usipo iishi utakavyokuwa utakuja kui mourn au kuijuita mbele ya safari..
Binafsi katika utoto wangu sikuruhusiwa kuwa mimi, meaning I was robbed of my childhood..
Nili ishi na ku treatiwa kikubwa..
Nilisikia maneno mazito, from a young age, nimeshuhudia vitu vigumu na ku experience mambo ambayo kuwa umri ule, sikupaswa kabisa kuviona.
Maisha niliyatreat kama stage la ku perform. Nilivaa uhusika mgumu sana, na hio iliniletea disappointment.. Now baada ya kuwa mtu mzima naona kabisa, that version of me that did not experience, re surfacing and wanting what it missed.
Ila at what cost? Kuumiza wengine, kutaka the upper hand bila kuwajibika? Kukataa mifumo ambayo 99.9999% ya waishio duniani huifata?
Well, this is a wake up call...
Maisha sio a bucket list, sio mtihani wa kufanya ili ufaulu maana we all end up to the grave.
Baada ya muda sasa naona how, numb people are! Watu wanaishi kwa kufuata Matakwa ya dunia ila hawajui ya kuwa their inner child is so suppressed to the point hata kujua nini wanataka kwenye maisha.
Kukosa na kuibiwa childhood yangu imenifanya niyaone maisha kivingine sana... Nimeona jinsi mafanikio yana shepiwa parefu na childhood, sasa si maandishi kupata malezi bora ndo mwanzo wa mafanikio... But ile perception ambayo mtoto anakuwa nayo subconsciously ndo ita reveal yeye ni nani ukubwani.. Bila hata ya yeye kujua...
Kuna pisi moja niliwahibkudate nae, yaani she was soo cute but soo stubborn. Alikuwa non receptive of love... Kumbe walikuwa wanachapwa fimbo uchi na mzee wao. She never got love growing up, na kwa ninibtulipendana?
We all had a thing in common... Never had a good background..
Unajua kwa nini watu hugeuka kuwa beasts! Kuna labels nyingi sana wanapenda kupewa binadamu, sijui psychopaths, narcissists, abusers...! Hamjui what's behind that person...
Hii movie inaelezea kwa ukubwa how ego inaficha deeper aspects kwenye maisha halisi. Ni kuwa utaishibkudhaninyou are making choices based on decisions l, kumbe unaogopa yule mtoto aliyeumizwa ndani yako atafufuka.
We all know it, but facing that demon is worse than, hurting ourselves and indulging on addiction..
Kuna mother mmoja anafanya kazi bar, ni huwa anakaa kutukanana matusi ya nguoni na wanaume, mwanzo nilidhani labda ni jinsi tu alivyo... Kumbe kwao watoto wote wa kike, ni wanajiuza, ni kama trend tu... Mdogo wake wa ambae hata shule hakumaliza naye, tayari anabadilisha mabwana pale... Wakisaidiana na dada yake kuwapanga wanaume...
Wao wanaona fresh tu, maana mwili tayari umesha adapt kwenye hiyo comfort.. Ila kwa wengine tu najiuliza how can one do that? How can a person feel comfort on kujiuza? Na akaon ameyaweza maisha?
Je, ni kwamba wanapenda?.. Ndio maana that's their bubble of reality.. Ila Kuna muda unaona maisha yamemchapa na hana pan kutokea..
That's life... It is never lived backwards.. But it only reflects what you got in your early life. Kama ulikosa childhood nzuri, mafanikio halisibutayasikia kwa wengine..
Trust me, it's more than therapy ambayo itakuokoa, Mungu nae lazima aingilie kati, lazima uwe na discipline ya kuomba kuachana na kile mwili wa nyama, unataka...
The body keeps the score.. (mwili una akili yake tofauti)
Erchart Tolle(kwenye Power of now) anapenda kutumia neno.. The pain body..