Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!
Ukubwa wa club yeyote Dunia sio kuwa ya kwanza kuanzisha bali ni ukubwa na ubora wake katika bara lake na nchi yake...tukiangalia kigezo cha uwazishwaji hata huku mtaani kuna timu nyingi za shuleni na vijijini vilianzishwa kabla ya yanga basi tungesema hizo ndio timu kubwa,mfano tungesema timu ya pamba,kagera,prison ni kubwa kuliko Azam Fc,Belazdad Mamelody n.k..lakini lingini mwaka 1926 na 1937 kulikuwa hakuna nchi inaitwa Tanzania bali kulikuwa na watumwa na timu za watumwa za kuwaffuraisha wakoloni..ndio maana enzi hizo hakuna timu inaitwa Simba wala yanga...hakuna ligi yeyote enzi hizo..hivyo kusema imeanzishwa mwaka fulani ndio kubwa ni ishara ya ujinga na upumbavu uliotukuka na nisababu ambayo haina ukweli wowote zaidi ya kupotezea watu muda.
Simba sc ndio timu kubwa Tanzania,Africa mashariki na kati kwasababu kwanza ndio timu yakwanza kuchukua kombe la ligi kuu Tanzania tokea ilipo anzishwa mwaka 1965 na 1966...pia ndio timu ya kwanza kucheza club bingwa na kufika robo final mara tano mfululizo club bingwa,pia imefika nusu final club bbingwa mwaka 1974,na imefika final ya kombe la shirikisho mwaka 1993,pia imeshakuwa timu ya 5 kwa ubora barani afrika,lakini pia ndio timu ya kwanza kucheza super league Tanzania..yaani ligi ya timu 8 bora na kubwa barani Afrika.