Ukubwa wa club sio mwaka wa uanzishwaji bali ni ukubwa na ubora wake katika bara lake

IMG_0499.jpeg.jpg
 
Hizo hatua zingekuwa rahis yanga angefika muda,na kama hizo hatua hazina maana Simba sc imekuwaje ya tano kwa ukubwa na ubora katika bara la Afrika?acheni ujinga wa kitanzania wa kuchanngia hoja ukila mapera yaliooza
ukubwa na rankings ni vitu viwili tofauti rankings ni form na ipo kwa muda ila ukubwa ni trophies mfano Simba kwa ranking ipo juu ya Enyimba ila kwa ukubwa Simba hamfikii Enyimba sasa wewe una jaa ujinga eti Simba ni ya tano Africa kwa lipi?
 
washabiki wa yanga nyie mmekaa kama makabeji ya shambani...kwahiyo unataka kusema kwasababu timu ya Pamba ilianzishwa muda mrefu kiliko AZAM,Belazdad na mamelody ni kubwa kwasababu ilikuwa ya kwanza kuanzishwa?
 
Wewe mpumbafu nmetumia lugha ya staha unataka kuleta ukahaba wako hapa mara ngapi Belgium kawa number 1 kwenye FIFA rankings na hana kombe la dunia kwa hio Belgium ni mkubwa au una bwata kama malaya wa bar! Kwa hio ukiulizwa ukubwa wa club utasema raking? wewe akili zimo kweli?
 
Kuna wakati simba ulikuwa ikitoa sare zinaongezwa dakika 8 za nyongeza!
 
Hata simba ilipofungwa nje ndani msimu huu na yanga utakuwa simba wamechukua bahasha
 
Back
Top Bottom