Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Israel ni mwanachama wa NATO? Jibu ni hapana. Je ni mmojawapo wa marekani?. Jibu ni hapana. Swali kwa nini NATO au Marekani wasiwasaidie wengine kama Siria,Iraq,Kuwait, kwa nini iwe Israel?. Jibu huna. Ndio hapo unaulizwa Israel ina kitu gani cha zaidi? Kuna siri gani ipo hapo?.Isreal inasaidiwa na NATO na Marekani. Isreal peke yake hata Tz wananguvu
JIBU hili hapa. Israel ndio watu pekee wenye akili kuliko yoyote kwenye karne hii tuliyopo. Israel ndio Taifa lenye kupandikiza watu wake ktk vyombo vingi vya ulinzi ktk mataifa mengi. Mataifa yote aliyoyataja hapo juu,wanasayansi wake asilimia kubwa ni Wa-israel. Kwa hiyo hata Zana za kivita za kisasa, Israel inahusika kwa kiasi kikubwa ktk uvumbuzi wake. Hasa Marekani