Ukubwa wa Israel ni kama mkoa wa Mtwara lakini wanapiga kelele Duniani kote!

Isreal inasaidiwa na NATO na Marekani. Isreal peke yake hata Tz wananguvu
Israel ni mwanachama wa NATO? Jibu ni hapana. Je ni mmojawapo wa marekani?. Jibu ni hapana. Swali kwa nini NATO au Marekani wasiwasaidie wengine kama Siria,Iraq,Kuwait, kwa nini iwe Israel?. Jibu huna. Ndio hapo unaulizwa Israel ina kitu gani cha zaidi? Kuna siri gani ipo hapo?.
JIBU hili hapa. Israel ndio watu pekee wenye akili kuliko yoyote kwenye karne hii tuliyopo. Israel ndio Taifa lenye kupandikiza watu wake ktk vyombo vingi vya ulinzi ktk mataifa mengi. Mataifa yote aliyoyataja hapo juu,wanasayansi wake asilimia kubwa ni Wa-israel. Kwa hiyo hata Zana za kivita za kisasa, Israel inahusika kwa kiasi kikubwa ktk uvumbuzi wake. Hasa Marekani
 
Huoni UKRAIN UNO wanavyohangaika kwa sababu ya ukiristo wao?
 
Isreal inasaidiwa na NATO na Marekani. Isreal peke yake hata Tz wananguvu
Kwanini marekani na NATO wasiisadie hata Uganda 🇺🇬 au Tanganyika na wawe busy na Israel??hilo ndio swali la msingi
 
Muache kukurupuka israhell ni sehem ya marekani
Kama israhell sio marekani unajua nani aliuhamisha mji mkuu wa israhell kutoka teli avivu kwenda mpaka jerusalem
Israhell labda wamekuzidi akili wewe pekeee
Yaani mtu anaetaka wanaume waoane wao kwa wao na wanawake pia useme kanizidi akili
Tuheshimiane wewe dogo
 
Kwanini marekani na NATO wasiisadie hata Uganda 🇺🇬 au Tanganyika na wawe busy na Israel??hilo ndio swali la msingi
Kwani mtu analazimishwa sehemu yakusaidia
Kama kusaidia hata ukraine mbona wanasaidia pia
 
Sasa ww usiye jua ni kwann Marekani anaisaidia kwa hali na mali Israel ni msomi wa aina gani?
Israel kaasisiwa na Marekani na Uingereza kwa ajili ya kuidhibiti mashariki ya kati ina maana Israel ipo hapo kwa ajili ya kulinda maslahi ya Marekani na washirika wake.
Israel ni kijitaasisi cha Marekani kilicho mashariki ya kati kulinda masilahi ya Marekani.
 
Kama ni misaada mbona wengi tunapokea misaada
Tunapokea misaada na bado hatukui. Wanakua akina Mwigulu, Makambas, Kikwetes na mashoga zao akina Manji na Rostam. Kuwa weusi sijui mpaka Roho zetu nazo zinakuwa nyeusi! Sielewi Aisee!
 
Secretary of state mwenyewe TU wa USA ni Myahudi.
 
Ukisikia kitu kinaitwa Blessed au Baraka basi usifanye mchezo unaweza ukanya ukakuta dhahabu kwa mavi... Ukikohowa unarusha almasi
 
Ahahahaaaaa...! Unafikiri kuna mtu atakubali wa upande wenu hilo nililolisema mzee?. Lakini ndio ujue mataifa yote makubwa wanawatumia Israel kwa mambo yao yahusuyo usalama,sayansi na mambo yakutumia akili. Kwa ukanda wetu huu Rwanda wana kiongozi wa usalama muisrael. Na Rwanda ndio nchi pekee iliyoenda mbali zaidi na ina mfumo wote wa Israel kwenye swala la interegencia.
 
America is ruled by Zionists

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Kama interegencia yenyewe ndio ile mnavamiwa wanakufa watu wenu zaidi ya 1300+ si bora tu mujue kama hamuna hio interegencia
Israhell waliweza kuwapiga waarabu wote kwa siku sita ila wanashindwa na wilaya yao kwa miezi mitatu
Israhell ilikua over-rated sana kwakweli
 
Mbona jibu ni simple tu!View attachment 2859276

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Hawa waisrael walipenyaje kuingia ngome ya USA 🇺🇸?? Tukubaliane mngu akikuvaliki uwe dereva huwezi kufosi kuwa docta utapoteza sana mda,,,hii jamii imebalikiwa na mngu kuwa na iq kubwa sana na hiyo ndo siraha yao ukiwadengulia manake umeyadengulia maarifa,,,,,,,,mmarekani sio Fala awekeza kwa vichwa maandazi,,,,,,,,kilichobalikiwa na mnyazi mngu mwanadamu haezi pangua
 
Brooo is ingekuwa sheria za kimataifa hiyo Hamas ingeshafutika,,,,Israel wana kila aina ya nyukilia vipi wangefanya kama alichofanyaga marekani pale hiroshima Japan unafikiri hiyo gaza ingekuwepo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…