kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Mechi ya Simba dhidi ya Asec Mimosas Simba walipewa nafasi ya watu 35,000 kuingia uwanja wa Mkapa kuangalia mechi lakini waliingia mashabiki 20,0000 TU.
Mechi Yao dhidi ya RS Berkane wamepewa tena idadi ya mashabiki 35000 kwenda uwanjani.
Hii ya Sasa inamtesa Ahmed Ally msemaji wao. Anazuunguka mitaani kuwabembeleza mashabiki waende uwanjani jpili. Anatafuta watu kwa tochi.
Hii ni tofauti sana na Haji Manara enzi zake, pengo la Haji Simba bado halijapata mzibaji.
Simba na Ahmed lazima wamwangukie Haji.