Ukubwa wa Manara dhidi ya Ahmed Ally waonekana bayana

Mechi ya Simba dhidi ya Asec Mimosas Simba walipewa nafasi ya watu 35,000 kuingia uwanja wa Mkapa kuangalia mechi lakini waliingia mashabiki 20,0000 TU.

Mechi Yao dhidi ya RS Berkane wamepewa tena idadi ya mashabiki 35000 kwenda uwanjani.

Hii ya Sasa inamtesa Ahmed Ally msemaji wao. Anazuunguka mitaani kuwabembeleza mashabiki waende uwanjani jpili. Anatafuta watu kwa tochi.

Hii ni tofauti sana na Haji Manara enzi zake, pengo la Haji Simba bado halijapata mzibaji.

Simba na Ahmed lazima wamwangukie Haji.
Nenda akakupe ujira wako
 
Huu upumbavu unakusaidia nini?
 
Kama kelele zake zinamsaada wa kujaza watu

Apige hizo kelele mechi yao na KMC ili wajaze uwanja.
 
Siku Manara akitangaza kurudi Simba unadhani Simba mikono haitapata malengelenge kwa kupiga makofi ya furaha?
Upuuzi mtupu! Huko Simba, aliondoka mwenyewe, au alifurushwa?
Ila, kilicho sahihi, ni kuwa, kuna akina Manara wawili. Yule wa Simba, watu wengi, na hata yeye mwenyewe alikuwa hajioni kama ni ZERUZERU, na ndiyo maana, alikuwa HALINDWI na ma BODI GADI! Yupo huko alipo, hajiamini na usalama wake, kwani anajiona uhalisia alionao, hivyo muda wote anajiona yupo hatarini!
 
Hata husemi kweli, Simba inachapwa 5-0 ugenini lakini Manara alikuwa akijaza watu uwanjani kwenye mechi za marudiano. Ile mechi ya Simba vs Asec kwa Haji watu wangekosa pa kukaa uwanjani
We jinga kweli, hata hujui kuwa CAF iliruhusu mashabiki 35 elfu tu.
 
Ya JS SOURA ilijaza watu kama ya Nkana, Ahly na As Vita?
 
Ahmed anatengeneza kizazi cha mapenzi ya ndani kwa timu kwa kuhamasisha watu kuijua timu yao na namna ya kuact timu inapopitia hali tofautitofauti
Jaribu kufikiri kwa kina , mashabiki ambao wanasubiri wahamasishwe kwa maneno meengi ya do or die wanaweza kuja kwa sababu kuna msisimko huo wa maneno ya mechi fulani muhimu sana ila hutowaona kama timu inacheza nje ya hali ya mechi muhimu ya hivyo sasa hapo si ni kufeli kwa sehemu? Ukiwahamasisha wanafunzi wasome kisa kuna mtihani next week utawaona kweli wako busy sana ila ndani yao hawapiganii kupata uelewa wa jumla bali uelewa japo kiasi wasipate zero next week (na uelewa huu hata baada ya mtihani huwa unayeyuka wenyewe ) Ukitaka kuelewa hilo chunguza hali ilivyokuwa katika mechi ambazo hapakuwepo na nguvu ya uhamasishaji kama ya mechi hizo za Klabu bingwa watu. robo uwanja .
Tunapaswa tutoke huko ,anayekwenda uwanjani sio awe amehamasishwa kwa maneno ya uongo bali aende kwa kutambua wachezaji wanahitaji sapoti na kuingia kwake uwanjani ni chanzo cha mapato ya timu ili iweze kujiendesha vizuri pia.

Mbona ulaya hakuna hizo blah blah na mashabiki wanajaa viwanjani? Lazima tubadilike
 
We jinga kweli, hata hujui kuwa CAF iliruhusu mashabiki 35 elfu tu.
imeruhusu mashaki 35 lakini walipatikana 20 tu, hao 15 walienda wapi, jinga ni wewe usiefuatilia mambo
 
Ahmed anatengeneza kizazi cha mapenzi ya ndani kwa timu kwa kuhamasisha watu kuijua timu yao na namna ya kuact timu inapopitia hali tofautitofauti
Jaribu kufikiri kwa kina , mashabiki ambao wanasubiri wahamasishwe kwa maneno meengi ya do or die wanaweza kuja kwa sababu kuna msisimko huo wa maneno ya mechi fulani muhimu sana ila hutowaona kama timu inacheza nje ya hali ya mechi muhimu ya hivyo sasa hapo si ni kufeli kwa sehemu? Ukiwahamasisha wanafunzi wasome kisa kuna mtihani next week utawaona kweli wako busy sana ila ndani yao hawapiganii kupata uelewa wa jumla bali uelewa japo kiasi wasipate zero next week (na uelewa huu hata baada ya mtihani huwa unayeyuka wenyewe ) Ukitaka kuelewa hilo chunguza hali ilivyokuwa katika mechi ambazo hapakuwepo na nguvu ya uhamasishaji kama ya mechi hizo za Klabu bingwa watu. robo uwanja .
Tunapaswa tutoke huko ,anayekwenda uwanjani sio awe amehamasishwa kwa maneno ya uongo bali aende kwa kutambua wachezaji wanahitaji sapoti na kuingia kwake uwanjani ni chanzo cha mapato ya timu ili iweze kujiendesha vizuri pia.

Mbona ulaya hakuna hizo blah blah na mashabiki wanajaa viwanjani? Lazima tubadilike
kaka watu wenye mapenzi ya kweli na timu yao hapa nchini ni Yanga tu, basi. Simba ni timu ya kiisalamu zaidi huwa wanapenda furaha bila kero wala gharama. Yanga wanaenda uwanjani hata kama timu yao inafanya vibaya. Simba kama timu haifanyi vizuri hawaendi na wala hawako tayari kuchangia kutoka mifukoni. Mwamedi ameshawajuwa ndio maana siku nyingine anawaondolea kiingilio kabisa ile waende wengi kushangilia.
 
Manara naona umeamua kujitangulizia cross mwenyewe ili ufunge[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukweli usemwe, jamaa alikua anahamasisha haswaa.

Hili lao la uwanja si ajabu yule jamaa angekuwepo mpaka saivi angekua bado kalishupazia shingo.

Enzi hizo jamaa alikua anawaaminisha mashabiki kua watashinda hata kama anajua hawatoboi😂😂 na mashabiki wanamuamini 100%.

Ila saivi huyu mwamba yupo kama hayupo vile. Hii mechi ya kesho angekua managha mwenyewe humu pasingetosha kwa nyuzi kibao za mnyama ila sasa hivi ni ziiii kama kesh hamna kinachotokea vile.
 
Huyu msemaji wa simba wa sasa kumbe hata mshahara tuu anacheleweshewa adi ktk ya mwezi na hii ni kwa mujibi wa mkewe wake, duu pole yake
 
Back
Top Bottom