Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata husemi kweli, Simba inachapwa 5-0 ugenini lakini Manara alikuwa akijaza watu uwanjani kwenye mechi za marudiano. Ile mechi ya Simba vs Asec kwa Haji watu wangekosa pa kukaa uwanjaniManara anajua nini, wakati ule anapiga kelele zake Simba ilikuwa moto mdomo wake haukusaidia chochote, huyu Ahmed ameikuta Simba ya mpito soon itakaa sawa.
Chawa kaziniHata husemi kweli, Simba inachapwa 5-0 ugenini lakini Manara alikuwa akijaza watu uwanjani kwenye mechi za marudiano. Ile mechi ya Simba vs Asec kwa Haji watu wangekosa pa kukaa uwanjani
Huoni timu aliyopo inaongoza ligi kwa tofauti ya point naneHuko alipo mbona hatuoni hiki unachomsifia hapa mkuu tena wapo wawili
Hongera msukule na chawa wa GSM ndg Manara kwa mtazamo wako. Umesikika.Mechi ya Simba dhidi ya Asec Mimosas Simba walipewa nafasi ya watu 35,000 kuingia uwanja wa Mkapa kuangalia mechi lakini waliingia mashabiki 20,0000 TU.
Mechi Yao dhidi ya RS Berkane wamepewa tena idadi ya mashabiki 35000 kwenda uwanjani.
Hii ya Sasa inamtesa Ahmed Ally msemaji wao. Anazuunguka mitaani kuwabembeleza mashabiki waende uwanjani jpili. Anatafuta watu kwa tochi.
Hii ni tofauti sana na Haji Manara enzi zake, pengo la Haji Simba bado halijapata mzibaji.
Simba na Ahmed lazima wamwangukie Haji.
Maneno kuntu Sana Sasa shida ya wao kushinda kujaza UWANJA wanlilia kuwa yanga tume enda kuwa pokea Berkane, No sisi tume enda kupokea watoto wetu tulio wauza na wakaweza kuvumilia magumu morrocco sio kama Chama alishindwa kitoto kiaziMechi ya Simba dhidi ya Asec Mimosas Simba walipewa nafasi ya watu 35,000 kuingia uwanja wa Mkapa kuangalia mechi lakini waliingia mashabiki 20,0000 TU.
Mechi Yao dhidi ya RS Berkane wamepewa tena idadi ya mashabiki 35000 kwenda uwanjani.
Hii ya Sasa inamtesa Ahmed Ally msemaji wao. Anazuunguka mitaani kuwabembeleza mashabiki waende uwanjani jpili. Anatafuta watu kwa tochi.
Hii ni tofauti sana na Haji Manara enzi zake, pengo la Haji Simba bado halijapata mzibaji.
Simba na Ahmed lazima wamwangukie Haji.
Katumieni kwa rivers utdJamaa asione aibu kutumia slogan za Haji kama vile DO or DIE kama anaona zinaweza kutumika kuvuta watu kwenda viwanjani.
Tatizo ni pale Simba Inacheza na timu nyingine lakini tambo na vibweka vya kabla na baada ya mechi vinahamia Yanga. Nani anapenda upuuzi kama huo?Hii mambo ya kulia kulia wameenda kupokea timu airport hayo ni ya utoto, maana yanafanyika hata nje, nyie chezeni Mpira wenu mutunyamazishe, maana hata tukiamua kuwasifia mukishinda mutakufa kututusi kwa USHINDI huo so afadhali tuwe opponents wazi wazi
Umeongea point sana.Manara ana mchango wake pale Simba basi tu wabishi wanaleta chuki kwake
Mo anafanya kazi ya Ahmed. Ndiyo ilivyo, hata ng'ombe hajui thamani halisi ya mkia wake hadi pale utakapokatika na kulazimika kufukuza wadudu kwa mdomo na pua yake kwa kugeukageuka huku na kule.Japo alikua anahamasa kubwa lakini alikua mtu wa hovyo mno kiasi kwamba kuna muda mambo alikua anafanya mpaka nlikua najidharau na kuona aibu kuiongelea klabu yangu
Acha pengo lake lisizibike but we have Ahmed n on Sunday tutaimba nyimbo moja uwanja mzima huku berkane akifa kwa mkapa
Kweli akili yako ndogoMechi ya Simba dhidi ya Asec Mimosas Simba walipewa nafasi ya watu 35,000 kuingia uwanja wa Mkapa kuangalia mechi lakini waliingia mashabiki 20,0000 TU.