Utapiga kelele sana. Lakini elewa Simba anacheza kimataifa wewe uko hapo hapo dimbwini kwakoMechi ya Simba dhidi ya Asec Mimosas Simba walipewa nafasi ya watu 35,000 kuingia uwanja wa Mkapa kuangalia mechi lakini waliingia mashabiki 20,0000 TU. Mechi Yao
Chawa kama chawaMechi ya Simba dhidi ya Asec Mimosas Simba walipewa nafasi ya watu 35,000
Mchango upi? Hamasa au?Manara ana mchango wake pale Simba basi tu wabishi wanaleta chuki kwake
Mchango upi mkuu?Manara ana mchango wake pale Simba basi tu wabishi wanaleta chuki kwake
Mchango upi mkuu?
Mchango upi? Hamasa au?
Aseeee.....Kupiga kelele,kuisimanga Yanga,kuwatishia waandishi wa habari waliokua wakiandika madhaifu ya simba
Aseeee.....
Kama huu ni mchango wake, basi abaki huko huko.
Aliiletea simba tabu na Vyombo vya habari,
Alijikweza sana akafikia hatua ya kuanza kusema haji manara na Simba ( kwamba ni brand mbili zilizo sawa).
Kwani Manara alianza kuwa msemaji Simba miaka hii minne ya mwisho ambayo ndiyeSimba ulipata kilele cha mafanikio??Kupiga kelele,kuisimanga Yanga,kuwatishia waandishi wa habari waliokua wakiandika madhaifu ya simba
Kwani Manara alianza kuwa msemaji Simba miaka hii minne ya mwisho ambayo ndiyeSimba ulipata kilele cha mafanikio??
Umesahau huyu alikuwepo miaka nenda rudi wakati tunastruggle kutengeneza timu na kufanya transformation ya umiliki?? Kelele hazifanyi timu iperform, pesa ndio inafanya yote hayo..
hapo sasa unashindwa kusimamia ulichosema mwanzoni, tupo kimataifa sio nyumbani yanga anahusikaje hapa.Kupiga kelele,kuisimanga Yanga,kuwatishia waandishi wa habari waliokua wakiandika madhaifu ya simba
kelele hazisaidii kama hakuna mafanikioMkuu take a chill pill. Sijaongelea mafanikio ya makombe etc zaidi ya mchango wa kelele zake