Nenda akakupe ujira wakoMechi ya Simba dhidi ya Asec Mimosas Simba walipewa nafasi ya watu 35,000 kuingia uwanja wa Mkapa kuangalia mechi lakini waliingia mashabiki 20,0000 TU.
Mechi Yao dhidi ya RS Berkane wamepewa tena idadi ya mashabiki 35000 kwenda uwanjani.
Hii ya Sasa inamtesa Ahmed Ally msemaji wao. Anazuunguka mitaani kuwabembeleza mashabiki waende uwanjani jpili. Anatafuta watu kwa tochi.
Hii ni tofauti sana na Haji Manara enzi zake, pengo la Haji Simba bado halijapata mzibaji.
Simba na Ahmed lazima wamwangukie Haji.
Amepoteza heshima hiyoManara ana mchango wake pale Simba basi tu wabishi wanaleta chuki kwake
Huu upumbavu unakusaidia nini?Mechi ya Simba dhidi ya Asec Mimosas Simba walipewa nafasi ya watu 35,000 kuingia uwanja wa Mkapa kuangalia mechi lakini waliingia mashabiki 20,0000 TU.
Mechi Yao dhidi ya RS Berkane wamepewa tena idadi ya mashabiki 35000 kwenda uwanjani.
Hii ya Sasa inamtesa Ahmed Ally msemaji wao. Anazuunguka mitaani kuwabembeleza mashabiki waende uwanjani jpili. Anatafuta watu kwa tochi.
Hii ni tofauti sana na Haji Manara enzi zake, pengo la Haji Simba bado halijapata mzibaji.
Simba na Ahmed lazima wamwangukie Haji.
NakaziaHuko alipo mbona hatuoni hiki unachomsifia hapa mkuu tena wapo wawili
KupeChawa
Upuuzi mtupu! Huko Simba, aliondoka mwenyewe, au alifurushwa?Siku Manara akitangaza kurudi Simba unadhani Simba mikono haitapata malengelenge kwa kupiga makofi ya furaha?
Kwani ye nani brother? Hana nafasi hiyoSiku Manara akitangaza kurudi Simba unadhani Simba mikono haitapata malengelenge kwa kupiga makofi ya furaha?
We jinga kweli, hata hujui kuwa CAF iliruhusu mashabiki 35 elfu tu.Hata husemi kweli, Simba inachapwa 5-0 ugenini lakini Manara alikuwa akijaza watu uwanjani kwenye mechi za marudiano. Ile mechi ya Simba vs Asec kwa Haji watu wangekosa pa kukaa uwanjani
Ya JS SOURA ilijaza watu kama ya Nkana, Ahly na As Vita?Hata husemi kweli, Simba inachapwa 5-0 ugenini lakini Manara alikuwa akijaza watu uwanjani kwenye mechi za marudiano. Ile mechi ya Simba vs Asec kwa Haji watu wangekosa pa kukaa uwanjani
kaka watu wenye mapenzi ya kweli na timu yao hapa nchini ni Yanga tu, basi. Simba ni timu ya kiisalamu zaidi huwa wanapenda furaha bila kero wala gharama. Yanga wanaenda uwanjani hata kama timu yao inafanya vibaya. Simba kama timu haifanyi vizuri hawaendi na wala hawako tayari kuchangia kutoka mifukoni. Mwamedi ameshawajuwa ndio maana siku nyingine anawaondolea kiingilio kabisa ile waende wengi kushangilia.Ahmed anatengeneza kizazi cha mapenzi ya ndani kwa timu kwa kuhamasisha watu kuijua timu yao na namna ya kuact timu inapopitia hali tofautitofauti
Jaribu kufikiri kwa kina , mashabiki ambao wanasubiri wahamasishwe kwa maneno meengi ya do or die wanaweza kuja kwa sababu kuna msisimko huo wa maneno ya mechi fulani muhimu sana ila hutowaona kama timu inacheza nje ya hali ya mechi muhimu ya hivyo sasa hapo si ni kufeli kwa sehemu? Ukiwahamasisha wanafunzi wasome kisa kuna mtihani next week utawaona kweli wako busy sana ila ndani yao hawapiganii kupata uelewa wa jumla bali uelewa japo kiasi wasipate zero next week (na uelewa huu hata baada ya mtihani huwa unayeyuka wenyewe ) Ukitaka kuelewa hilo chunguza hali ilivyokuwa katika mechi ambazo hapakuwepo na nguvu ya uhamasishaji kama ya mechi hizo za Klabu bingwa watu. robo uwanja .
Tunapaswa tutoke huko ,anayekwenda uwanjani sio awe amehamasishwa kwa maneno ya uongo bali aende kwa kutambua wachezaji wanahitaji sapoti na kuingia kwake uwanjani ni chanzo cha mapato ya timu ili iweze kujiendesha vizuri pia.
Mbona ulaya hakuna hizo blah blah na mashabiki wanajaa viwanjani? Lazima tubadilike
Angalia mechi ya Hisani huko ChamaziHuko alipo mbona hatuoni hiki unachomsifia hapa mkuu tena wapo wawili