Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

Baadae Yule bibi akamkabidhi mganga ule mti halafu akachukuliwa nyoka ambae ameuwawa akachanganywa kwenye ile damu ilyo kuwa kwenye chungu pamoja na dawa kisha vikachemshwa mpaka vikawa jivu.

(Siku hizi vitu vikichemshwa sana vinakuwa jivu ee)
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bado kdg niingie King nimwage maushauri,lkn nimepitia story yako mara nyingine nimeona kuna elements za utapeli km sio hadithi ya kufikirika!
Hapo utapeli unatoka wapi ? Hivi this how the so great thinkers are supposed to think ? I dont think so. Ninacho kifahamu mimi JF ndo inaongoza kwa kuwa na members masikini na malofa wasio na ajira..Huo utapeli naufanya vipi ? Humu kuna wababaishaji wengi sana. Mimi nimetoa uzi wangu kwa nia njema kabisa niweze kupata ushauri nashangaa watu mnanijibu kunya. Hii inaonyesha ni jinsi gani watu mmekata tamaa ya maisha .. Kila kitu mnahisi kutapeliwa tu.. Nikikuuliza hapo utapeli wangu unakuja kujaje hauna maelezo ya kutosha... Nimeamini maneno ya Nabii Suleiman masikini hana hekima. Wengine mnajifanya mnamjua sana Mungu eti mnanikemea wakati kosa limeshafanyika tayari natafuta ushauri.. Wengine wanakuja pm wanajifanya waganga, nikiwauliza maswali ya kawaida kabisa wanabadilisha maneno.. Kuna mmoja akiendelea kunisumbua nitachapisha maelezo yake...
 
Nenda msikiti wa veterenary tafuta mtu anaitwa dokta sule muelezee hiyi story yote usimfiche kitu..jamaa anapiga kitabu alishamnyanyua mtu alitupiwa kitu awe kiwete na alikuwa kiwete kweli lakin alimnyaua na sasa hivi ni mzima kabisa..!..anatumia kitabu zaid
 
Dokta Sulle huyu anaejitangaza kwenye redio au kuna mwingine ?
 
Daah ngoja nichukue tahadhari. Ila nimejifunza kitu hapa hata kama wengi wanasema ni uongo.

Daah mungu tuepushe na haya majanga. Long live JF mafunzo haya yamepungua. Khaaah
Chunga kuacha malighafi yako kwa mtu usiemuamini[emoji23] Mshana alishafundisha kuwa makini/kutunza manii kuepuka kufanyiwa uchawi
 
Back
Top Bottom