Hapo utapeli unatoka wapi ? Hivi this how the so great thinkers are supposed to think ? I dont think so. Ninacho kifahamu mimi JF ndo inaongoza kwa kuwa na members masikini na malofa wasio na ajira..Huo utapeli naufanya vipi ? Humu kuna wababaishaji wengi sana. Mimi nimetoa uzi wangu kwa nia njema kabisa niweze kupata ushauri nashangaa watu mnanijibu kunya. Hii inaonyesha ni jinsi gani watu mmekata tamaa ya maisha .. Kila kitu mnahisi kutapeliwa tu.. Nikikuuliza hapo utapeli wangu unakuja kujaje hauna maelezo ya kutosha... Nimeamini maneno ya Nabii Suleiman masikini hana hekima. Wengine mnajifanya mnamjua sana Mungu eti mnanikemea wakati kosa limeshafanyika tayari natafuta ushauri.. Wengine wanakuja pm wanajifanya waganga, nikiwauliza maswali ya kawaida kabisa wanabadilisha maneno.. Kuna mmoja akiendelea kunisumbua nitachapisha maelezo yake...