HAKUNAMATATA
JF-Expert Member
- Jun 29, 2017
- 996
- 2,267
Maisha yanaenda kasi sana!
Siku hizi waganga wanachati[emoji16][emoji16][emoji16]
Siku hizi waganga wanachati[emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana Binti ila ulichomfanyia mmeo ni sawa na uuaji! Majuto ni mjukuu ...Kumwambia ukweli hapana.. Mimi nataka nipate msaada arudi katika hali yake ya kawaida. Ila nashukuru sana kwa ushauri wako
Hapana ila naufahamu wa hayo mambo kiasiMkuu wewe nawe ni mnajimu nin
Nimeshakwambia huyo mumeo dawa yake ipo kwa mama yake mzazi.Mkuu una experience na hiyo kitu ? Tupo tayari kufanya chochote kama unamjua mtalaamu wa uhakika please ni pm. Nipo tayari kutoa chochote. Ila awe wa uhakika kweli kweli maana akiwa mwepesi mwepesi anaweza kwenda na maji..
Hongera na ni kazi kwa kweli nikajua ni mtaalamu weweHapana ila naufahamu wa hayo mambo kiasi
Nenda kigoma buzeba zeba kule lazima mzigo utasimama
Ila Ukitaka kuruka agana na nyonga
Kwa hiyo uko tayari huyo mme wako aende kumlala Mama yake Mzazi?!!! Na wewe ni Mwanamke?!! Umebarikiwa kuzaa watoto wewe?!!Mkuu una experience na hiyo kitu ? Tupo tayari kufanya chochote kama unamjua mtalaamu wa uhakika please ni pm. Nipo tayari kutoa chochote. Ila awe wa uhakika kweli kweli maana akiwa mwepesi mwepesi anaweza kwenda na maji..
Akisha okoka ndiyo mumewe atapona ??Hakuna zaidi ya kumrudia Mungu wako.
Hakuna mganga zaidi ya Mungu, okoka, tubu na ukiri!!