chendelela
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,145
- 1,008
Rekebisha hapo modes nadhan ni mods=moderatorsModes naona privacy ya JF inavunjwa na mtu hapigwi ban vip?Mazungumzo na bidada hapo juu ni ya PM inakuaje yanawekwa wazi kwetu?Hata kama bidada alikwazwa ilitakiwa tu aripoti kwa modes ambao wangechukua hatua stahiki,pole kwa tatizo lako but huna right ya kuvunja kanuni na taratibu za JF.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nenda congo
Mahondaw mfanyie huyu jamaa mambo please![emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji23][emoji23][emoji23]Vumbi la congo limeprove failure
Tatizo sio kupingana na maelezo yako bali the way ulivyo express those procedures na jinsi ulivyokuwa na guts ya kueleza mabaya uliyoyafanya kwa mumeo in sequence wise,inafanya watu wadadisi ni kweli? au wewe pia una elements za uganga ? Kama sivyo au unajaribu kum advertise huyo FUNDI kupitia hadithi yako ya kufikirika ?Hapo utapeli unatoka wapi ? Hivi this how the so great thinkers are supposed to think ? I dont think so. Ninacho kifahamu mimi JF ndo inaongoza kwa kuwa na members masikini na malofa wasio na ajira..Huo utapeli naufanya vipi ? Humu kuna wababaishaji wengi sana. Mimi nimetoa uzi wangu kwa nia njema kabisa niweze kupata ushauri nashangaa watu mnanijibu kunya. Hii inaonyesha ni jinsi gani watu mmekata tamaa ya maisha .. Kila kitu mnahisi kutapeliwa tu.. Nikikuuliza hapo utapeli wangu unakuja kujaje hauna maelezo ya kutosha... Nimeamini maneno ya Nabii Suleiman masikini hana hekima. Wengine mnajifanya mnamjua sana Mungu eti mnanikemea wakati kosa limeshafanyika tayari natafuta ushauri.. Wengine wanakuja pm wanajifanya waganga, nikiwauliza maswali ya kawaida kabisa wanabadilisha maneno.. Kuna mmoja akiendelea kunisumbua nitachapisha maelezo yake...