Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Nchi itaendelea wapi mzee babaa, huku ufisadi, huku diaspora wakisumbuliwa na kuonekana hawana uhalali wa nchi, kodi za serikali kila sehemu.View attachment 2897248
Ni jambo LA kusimitisha Sana kuona nchi ndogo kama Singapore ikiwa na uchumi mkubwa kuliko taifa lolote ndani ya bara LA Africa
Ukubwa wa Singapore ni kama tu wilaya ya kigamboni. Ina raia karibia million Sita
Uchumi wake ni gdp karibia 500 billion usd. Kwanini tunazidiwa na nchi ndogo kiasi hiki? Hii sasa ni too much