Ukufanikiwa kuwadhibiti Yanga kwenye uchawi unawageuza kama chapati

Ukufanikiwa kuwadhibiti Yanga kwenye uchawi unawageuza kama chapati

Akili yako mgando. Vipi kuhusu FA, Kagame, mtani jembe nk? Siyo makombe hayo?
Wewe kweli kamasi tu zimejaa kichwani, Mimi nikajua utaniambia tuna kikombe Cha CAF kumbe Ni haya haya tu. Kwani Yanga hajawahi chukua FA, au hajawahi chukua Kagame cup? Hebu njoo na kingine hayo yote hskuna jipya hapo.
 
Tujiulize kama sio ulozi kipi kinawafanya utopolo waingilie mlango usio rasmi? Tena hata msimu uliopita walifanya hivi hivi.
 
Naona Mbumbumbu mmeitana kujadili ujinga badala ya kujadili Mwamedi kununua timu milele kwa 20bl wakati Yanga inaingiza 34bl kwa miaka 10 kutoka Azam Media.

Sent using Jamii Forums mobile app

Katika Historia ya Mpira wa Bongo ni wachezaji wawili tu ambao walikutwa na Hirizi uwanjani.

Na wahezaji hao ni wa Simba SC pekee yaani. Pape Ndiaye & Meddie Kagere.

Kipindi hawa wanakutwa na Hirizi mleta mada alikuwa bado hajaanza kuishabikia mpira wa miguu Tanzania Bara.
 
Umegusa penyewe hasa,,na waliowahi kuingia na paka uwanjani ni haohao mikia.
 
Wewe kweli kamasi tu zimejaa kichwani, Mimi nikajua utaniambia tuna kikombe Cha CAF kumbe Ni haya haya tu. Kwani Yanga hajawahi chukua FA, au hajawahi chukua Kagame cup? Hebu njoo na kingine hayo yote hskuna jipya hapo.
Akili yenye kamasi ndio huwa inalinganisha pande mbili kwa kuangalia kigezo kimoja tu. Yanga kwa hilo mko vizuri
 
Kwa hiyo nyie mmechukua kombe gani zaidi ya ligi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Screenshot_20210714-122622_Twitter.jpg
 
Back
Top Bottom