Wewe kweli kamasi tu zimejaa kichwani, Mimi nikajua utaniambia tuna kikombe Cha CAF kumbe Ni haya haya tu. Kwani Yanga hajawahi chukua FA, au hajawahi chukua Kagame cup? Hebu njoo na kingine hayo yote hskuna jipya hapo.Akili yako mgando. Vipi kuhusu FA, Kagame, mtani jembe nk? Siyo makombe hayo?
Naona Mbumbumbu mmeitana kujadili ujinga badala ya kujadili Mwamedi kununua timu milele kwa 20bl wakati Yanga inaingiza 34bl kwa miaka 10 kutoka Azam Media.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo nyie mmechukua kombe gani zaidi ya ligi?Kwahiyo timu huwa zinashondania kombe la Ligi peke yake?
Hilo jina utopolo linasadifu vilivyo akili zenu.
Umegusa penyewe hasa,,na waliowahi kuingia na paka uwanjani ni haohao mikia.Katika Historia ya Mpira wa Bongo ni wachezaji wawili tu ambao walikutwa na Hirizi uwanjani.
Na wahezaji hao ni wa Simba SC pekee yaani. Pape Ndiaye & Meddie Kagere.
Kipindi hawa wanakutwa na Hirizi mleta mada alikuwa bado hajaanza kuishabikia mpira wa miguu Tanzania Bara.
Akili yenye kamasi ndio huwa inalinganisha pande mbili kwa kuangalia kigezo kimoja tu. Yanga kwa hilo mko vizuriWewe kweli kamasi tu zimejaa kichwani, Mimi nikajua utaniambia tuna kikombe Cha CAF kumbe Ni haya haya tu. Kwani Yanga hajawahi chukua FA, au hajawahi chukua Kagame cup? Hebu njoo na kingine hayo yote hskuna jipya hapo.