Ukulima wa korosho huko Tanzania

Ukulima wa korosho huko Tanzania

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459
Je, nikipata mwana Bongo huko tanzania, anaweza kunikodisha shamba nipande korosho?
Na ikifika wakati wa kuuza, jeshi la Magufuli litanunua zao langu ama watasema mimi ni nyang'au?

Huu ukilima wa korosho ndio utatengeneza millionaire wengi huko Bongo, mimi siachwi nyuma kama Nyang'au.
 
Jombaa, korosho zinapandwa sana kule Lamu, tena mashamba yapo mengi na uwekezaji unahitajika kwa wingi. Panda kwenu, vuna kwenu, kula na ndugu zako bila presha. Basi.
 
Maswali mengine majibu yake ni rahisi hadi unamshangaa alie uliza kama yupo makini kuchanganua mambo?

Tanzania inaruhusu muwekezaji mwenyeji na mgeni ktk kilimo na mengineyo.

Tanzania unaweza kukopa fedha bank kwa ajili ya kilimo hata kama shamba lako ni la kukodi (kwa maana hiyo unatambulika kama wewe ni mwenye shamba kwa wakati husika). Hapa utatakiwa ufuate mashariti ya dhamana ya mkopo tu. Kama lazima uwe na land title ya shamba basi utajua namna mwenye shamba atakavyo kurusu ukaweke hati yake ya shamba kama dhamana ya mkopo.

Ukaguzi wa wakulima wa korosho unaangalia muuzaji alilima wapi? Sio mmiliki wa ile ardhi ni nani? Kwa mfano mtu anaweza kulima kwenye shamba la babu au baba yake na ikithibitika kweli yeye ndie alie lima analipwa pesa yake bila shida.

Maoni yangu binafsi:
Uhakiki wa mashamba ya wakulima wa korosho umeleta usumbufu usio wa lazima.

KARIBU TANZANIA KUWEKEZA KATIKA KILIMO CHA KOROSHO. MASHARITI UUZIE HAPAHAPA NCHINI.
 
Je nikipata mwana Bongo huko tanzania, anaweza kunikodisha shamba nipande korosho??
Na ikifika wakati wa kuuza, jeshi la magufuli litanunua zao langu? ama watasema mimi ni nyang'au ??

Huu ukilima wa korosho ndio utatengeneza millionaire wengi huko Bongo, mimi siachwi nyuma kama Nyang'au
Njoo upande, tukikujua si we confiscate the shamba na wewe mwenyewe

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Maswali mengine majibu yake ni rahisi hadi unamshangaa alie uliza kama yupo makini kuchanganua mambo?

Tanzania inaruhusu muwekezaji mwenyeji na mgeni ktk kilimo na mengineyo.

Tanzania unaweza kukopa fedha bank kwa ajili ya kilimo hata kama shamba lako ni la kukodi (kwa maana hiyo unatambulika kama wewe ni mwenye shamba kwa wakati husika). Hapa utatakiwa ufuate mashariti ya dhamana ya mkopo tu. Kama lazima uwe na land title ya shamba basi utajua namna mwenye shamba atakavyo kurusu ukaweke hati yake ya shamba kama dhamana ya mkopo.

Ukaguzi wa wakulima wa korosho unaangalia muuzaji alilima wapi? Sio mmiliki wa ile ardhi ni nani? Kwa mfano mtu anaweza kulima kwenye shamba la babu au baba yake na ikithibitika kweli yeye ndie alie lima analipwa pesa yake bila shida.

Maoni yangu binafsi:
Uhakiki wa mashamba ya wakulima wa korosho umeleta usumbufu usio wa lazima.

KARIBU TANZANIA KUWEKEZA KATIKA KILIMO CHA KOROSHO. MASHARITI UUZIE HAPAHAPA NCHINI.

Asante kaka kwa ushauri wako
 
Je nikipata mwana Bongo huko tanzania, anaweza kunikodisha shamba nipande korosho??
Na ikifika wakati wa kuuza, jeshi la magufuli litanunua zao langu? ama watasema mimi ni nyang'au ??

Huu ukilima wa korosho ndio utatengeneza millionaire wengi huko Bongo, mimi siachwi nyuma kama Nyang'au

Utaishia kupoteza hadi kilio, maana hata Watanzania wazawa wenyewe wamepoteza kwa hili la kukodi mashamba, jeshi liliingilia kati na kutoa kauli kwamba il ulipwe lazima udhihirishe kwamba shamba ni lako.

hebu soma huu uzi hapa Kinachoendelea huko Kusini sio ununuzi wa korosho ni unyama na unyang'anyi dhidi ya wakulima pamoja na wafanyabiashara wa ndani wa zao la korosho - JamiiForums
 
Wah, and when i tell bongo guys how Magu is actually a disaster they never listen, though najua kimoyomoyo wanajuta.
steps mbili mbel, tatu nyuma
 
Maswali mengine majibu yake ni rahisi hadi unamshangaa alie uliza kama yupo makini kuchanganua mambo?

Tanzania inaruhusu muwekezaji mwenyeji na mgeni ktk kilimo na mengineyo.

Tanzania unaweza kukopa fedha bank kwa ajili ya kilimo hata kama shamba lako ni la kukodi (kwa maana hiyo unatambulika kama wewe ni mwenye shamba kwa wakati husika). Hapa utatakiwa ufuate mashariti ya dhamana ya mkopo tu. Kama lazima uwe na land title ya shamba basi utajua namna mwenye shamba atakavyo kurusu ukaweke hati yake ya shamba kama dhamana ya mkopo.

Ukaguzi wa wakulima wa korosho unaangalia muuzaji alilima wapi? Sio mmiliki wa ile ardhi ni nani? Kwa mfano mtu anaweza kulima kwenye shamba la babu au baba yake na ikithibitika kweli yeye ndie alie lima analipwa pesa yake bila shida.

Maoni yangu binafsi:
Uhakiki wa mashamba ya wakulima wa korosho umeleta usumbufu usio wa lazima.

KARIBU TANZANIA KUWEKEZA KATIKA KILIMO CHA KOROSHO. MASHARITI UUZIE HAPAHAPA NCHINI.

Waambie mkuu, hawa jamaa wanafikiri sisi tuna roho mbaya sana la hasha ukifuata masharti utalima tu hata kama unatokea ng’ambo
 
Wah, and when i tell bongo guys how Magu is actually a disaster they never listen, though najua kimoyomoyo wanajuta.
steps mbili mbel, tatu nyuma
So u listening these propaganda news from jf and u concluded magu is a disaster.
You think those guys wanapokonywa mazao for nothing. Guys, use your head to reason.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom