Ukumbi wa Mlimani City utalipuka kwa shangwe baada ya Lissu kutangazwa mshindi katika kinyang'anyiro cha kumchagua mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

huku kwenye viunga vya Lumumba na kule Chamwino leo na kesho tunafanya mkesha wa maombi maalumu kila mmoja aombe kwa "mungu" wake ili kuzuia Lissu asipitishwe kugombea urais.

halafu kuna kamati ya roho mbaya huku imenoa vichinjio vyake inaona bora urais apewe hata Lissu kuliko kumpa huyu mgombea wetu ambaye anatuona takataka tu sisi wenziwe wote.

yaani Chaku wetu ni hofu tupu!
 
Na bado,lazima ataendelea kuongea kama alievurugwa kwa kuchanganyikiwa.
 
Go Lissu Watanzania wengi wapo nyuma yako. CDM wekeni bima ya afya kwa Watanzania wote.Ni aibu kubwa wengi wanapoteza maisha kwa kukosa dawa na vifaa tiba katika majengo ya afya.
 
Labda kama wewe hujui siasa ama unaufumbia macho UTATU wa Mbowe, Lisu na Nyalandu au kwa kifupi Mbolinya!
Mbona mimi nipo kwenye ngazi ya maamuzi na tayari tuna Lissu bwasheeeeee emb acha kuwanga mchana bwasheeeeee. Mwambieni JIWE ajiandae kwa makombora na tayari tumechomoa nyaraka zote za siri ikulu
 
Hivi Lissu akikatwa na tume CHADEMA itafanyaje? Je kuna mazingira ya namna hiyo yanaweza kujitokezA?
 
Hichi ndicho kipindi ambacho ambacho matumizi ya akili yako chini sana........inatawala mihemko na tu munkari......


Mungu atuvushe salama kipindi hichi!
 
Lissu ni nani? Huyu ni lofa tu hawezi kuwa rais wa jmt Leo wala kesho
 
Nyalandu ana hela za kampeni,Tindu Lisu hana anategemea ruzuku ya Chama.

Hivyo kwa Wananchi Lisu ndio Chaguo bora kabisa ila kwa Mwenyekiti Nyalandu ana nafasi kubwa zaidi.
 

Lissu hapati.
 
Hichi ndicho kipindi ambacho ambacho matumizi ya akili yako chini sana........inatawala mihemko na tu munkari......


Mungu atuvushe salama kipindi hichi!
Vile vile hili ni kipindi cha frustrations kwa watu kama nyie na tuombee tu tusisikie kuna watu au mtu kaanguka baada ya kupata mshituko wa moyo, kisukari kupanda,n.k.
 
Mbona mimi nipo kwenye ngazi ya maamuzi na tayari tuna Lissu bwasheeeeee emb acha kuwanga mchana bwasheeeeee. Mwambieni JIWE ajiandae kwa makombora na tayari tumechomoa nyaraka zote za siri ikulu

Mkuu mbona kwenye mkutano hakuna aliyevaa barakoa? Hahahahaha kwa hiyo sasa wameungana na Magufuli?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…