Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kamanda 🤣🤣🤣🤣Tuko pamoja kamanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda 🤣🤣🤣🤣Tuko pamoja kamanda.
CCM utawajua tu!!Lisu hawezi kushinda!
Hilo nakuhakikishia bwashee.CCM utawajua tu!!
huku kwenye viunga vya Lumumba na kule Chamwino leo na kesho tunafanya mkesha wa maombi maalumu kila mmoja aombe kwa "mungu" wake ili kuzuia Lissu asipitishwe kugombea urais.Binafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa.
Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele ambavyo havitaishia tu ndani ya ukumbi bali shamrashamra hizo zitaendelea nje ya ukumbi na baadae kuhami mitandaoni.
Media za kimataifa nazo hazitakuwa nyuma katika kutangaza matokeo hayo huku Lissu akihojiwa aseme machache juu ya ushindi wake bila kusahau Mbowe kama mwenyekiti kwani ni lazima watataka maoni yake.
Ikitokea hiyo asilimia 5 ndio itatoa mshindi kwa maana ya Nyalandu,ukumbi utapoa ingawa wapo wachache watashangilia ila CCM ndio wataongoza kupokea kwa furaha matokeo hayo kuliko wana-CHADEMA wenyewe.
Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu mara kadhaa,Lissu anabebwa na nyakati kwani hizi ni nyakati zake kama tusemavyo: "kila jambo na wakati wake" na wakati huu ni wa Lissu.
Tusubiri.
Hizi hesabu ni za shule ya Msingi!?Jasusi na meko watagawana kura huku Lissu akiibuka mshindi
Duh wewe ni mchawi!Hilo nakuhakikishia bwashee.
Hata Lisu mwenyewe kura yake atampigia Nyalandu!
Na bado,lazima ataendelea kuongea kama alievurugwa kwa kuchanganyikiwa.huku kwenye viunga vya Lumumba na kule Chamwino leo na kesho tunafanya mkesha wa maombi maalumu kila mmoja aombe kwa "mungu" wake ili kuzuia Lissu asipitishwe kugombea urais.
halafu kuna kamati ya roho mbaya huku imenoa vichinjio vyake inaona bora urais apewe hata Lissu kuliko kumpa huyu mgombea wetu ambaye anatuona takataka tu sisi wenziwe wote.
yaani Chaku wetu ni hofu tupu!
Labda kama wewe hujui siasa ama unaufumbia macho UTATU wa Mbowe, Lisu na Nyalandu au kwa kifupi Mbolinya!Duh wewe ni mchawi!
ASANTE sana Mkuu.
Mbona mimi nipo kwenye ngazi ya maamuzi na tayari tuna Lissu bwasheeeeee emb acha kuwanga mchana bwasheeeeee. Mwambieni JIWE ajiandae kwa makombora na tayari tumechomoa nyaraka zote za siri ikuluLabda kama wewe hujui siasa ama unaufumbia macho UTATU wa Mbowe, Lisu na Nyalandu au kwa kifupi Mbolinya!
CHADEMA sio CCM.Hivi Lissu akikatwa na tume CHADEMA itafanyaje? Je kuna mazingira ya namna hiyo yanaweza kujitokezA?
Lissu ni nani? Huyu ni lofa tu hawezi kuwa rais wa jmt Leo wala keshoBinafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa.
Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele ambavyo havitaishia tu ndani ya ukumbi bali shamrashamra hizo zitaendelea nje ya ukumbi na baadae kuhami mitandaoni.
Media za kimataifa nazo hazitakuwa nyuma katika kutangaza matokeo hayo huku Lissu akihojiwa aseme machache juu ya ushindi wake bila kusahau Mbowe kama mwenyekiti kwani ni lazima watataka maoni yake.
Ikitokea hiyo asilimia 5 ndio itatoa mshindi kwa maana ya Nyalandu,ukumbi utapoa ingawa wapo wachache watashangilia ila CCM ndio wataongoza kupokea kwa furaha matokeo hayo kuliko wana-CHADEMA wenyewe.
Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu mara kadhaa,Lissu anabebwa na nyakati kwani hizi ni nyakati zake kama tusemavyo: "kila jambo na wakati wake" na wakati huu ni wa Lissu.
Tusubiri.
Binafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa.
Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele ambavyo havitaishia tu ndani ya ukumbi bali shamrashamra hizo zitaendelea nje ya ukumbi na baadae kuhami mitandaoni.
Media za kimataifa nazo hazitakuwa nyuma katika kutangaza matokeo hayo huku Lissu akihojiwa aseme machache juu ya ushindi wake bila kusahau Mbowe kama mwenyekiti kwani ni lazima watataka maoni yake.
Ikitokea hiyo asilimia 5 ndio itatoa mshindi kwa maana ya Nyalandu,ukumbi utapoa ingawa wapo wachache watashangilia ila CCM ndio wataongoza kupokea kwa furaha matokeo hayo kuliko wana-CHADEMA wenyewe.
Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu mara kadhaa,Lissu anabebwa na nyakati kwani hizi ni nyakati zake kama tusemavyo: "kila jambo na wakati wake" na wakati huu ni wa Lissu.
Tusubiri.
Vile vile hili ni kipindi cha frustrations kwa watu kama nyie na tuombee tu tusisikie kuna watu au mtu kaanguka baada ya kupata mshituko wa moyo, kisukari kupanda,n.k.Hichi ndicho kipindi ambacho ambacho matumizi ya akili yako chini sana........inatawala mihemko na tu munkari......
Mungu atuvushe salama kipindi hichi!
Mbona mimi nipo kwenye ngazi ya maamuzi na tayari tuna Lissu bwasheeeeee emb acha kuwanga mchana bwasheeeeee. Mwambieni JIWE ajiandae kwa makombora na tayari tumechomoa nyaraka zote za siri ikulu