Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

Tukisema hapa kuna watu watadai tunakashfu imani ya watu ila kanisa katoliki siyo dhehebu sahihi kimaandiko hata huyo nyoka anasadifu ni nani kiongozi wake rejea ktk biblia yule anayetajwa kama nyoka ni nani ukimfahamu basi huyo ndiye
Mbona unateseka na mambo ya wakatoliki?? Wanakujwaza nini wakati hawakulazimishi kuamini hayo wewe mwenye dini ya kweli unayoona ni ya kishetani?? Ushawah ona kanisa katoliki au waumini wake wanadili na hizi pet issues za ku discuss madhehebu mengine??
 
Watu wangejiuliza hata swali hili; Freemason ilianzia wapi, jibu lake tungekimbiana humu yaani
 
Pole sana una safari ndefu ya kujifunza ila hujaamua tu. Achana na mambo ya kufikirika, jifunze biblia mbona iko wazi kabisa
Ukileta Biblia hakika ndio utaona kabisa Roman Catholic hawaifati kabisa, ndio maana katika madhebu yote ya Kikristo RC pekee yao ndio wanavitabu vyao tofauti na Biblia, Biblia inatumika kama vitabu vingine. Wametunga sana mitindo na aina ya kusali tofauti sana na maelekezo ya Biblia, nitataja baadhi ya mifano.
1. Hivi kusali na kuomba kupitia JINA la "bikira mariamu" huaga wanatoa wapi? Mbona Biblia imetoa maelekezo vizuri? Hawajui au wanafanya makusudi?
2. Hi ibada ya wafu au mafundisho ya TOHORANI, wametoa wapi? Mbona Biblia inaongea tofauti sana na jambo hili? Kwenda kinyume na Biblia ni bahati mbaya au makusudi?
3. Hi ya kuifanya Vatican kua ndio mji mtakatifu imetokea wapi? Unajua Kibiblia, Italy ni sehemu ya mataifa kama ilivyo Tanzania tu?
4. Wameiaminisha dunia kwamba kuna kitu kinaitwa Kwaresma; hivi Kwaresma Kibiblia ndio nini?

Yapo mengi sana, kuanzia kuzuia wachungaji kuoa na kuolewa, kubatiza watoto wadogo nk. Tena hili la kuoa ndio (kwa mujibu wa Biblia ) ndio sifa No 1 ya askofu, imeandikwa namna hi, "imempasa askofu kua mume wa mke mmoja...." halafu RC kigezo No 1 cha askofu lazima uwe mseja. Biblia gani inayofuatwa na RC?
 
Nakubaliana na wewe 100% mafundisho mengi ya RC ni ya uongo lakini naoingana na mtoa post huyu kuhusu ukumbi wa papa kwa sababu hana ushahidi wa biblia
 
Nimecheeeka!Mkuu mpaka leo unaongelea madhehebu,umechelewa sana.Mbona Bwana Yesu hajaleta dhehebu mkuu?Madhehebu ni mkakati wa Shetani wa kupotosha Wanadamu na device and rule.Bwana Yesu kaleta wokovu mkuu.Funguka.
 
Ameandika nani hiki kitabu?
 
Ameandika nani hiki kitabu?
Mkuu ukweli wa The RC unaelweweka wazi,because symbols of Lucifer are everywhere in your church.Fimbo anayobeba Pope has satanic symbols.Kofia yake depicts satanism.Mkuu kujua mwandishi wa hicho kitabu haitakusaidia sana.You either decide to leave or stay,lakini nikuambie jambo moja,self denial haitakusaidia sana.Najua hata kama ukiambiwa huyo muandishi,uta-deny ukweli uliomo ndani ya hicho kitabu.Kubali ukweli kama kweli you need to embrace the true God,and eventually go to heaven. Many of RC teachings are not biblical,this explains it all.Tatizo ni kwamba Waroma hamsomi Biblia,mnategemea Mapadri,sasa mtaufahamuje ukweli.Kama hufahamu maandiko,utalishwa matango mwitu.It is very sad.

Mkuu hivi unajua kwamba your Pope is Jesuit?Doesn't that tell you something?
 
Mkuu mbona uko nje ya context kabisa. Umenivamia bila sababu. Kwanza mimi sio mkatoliki na sijawahi kuwa Mkristo. Kwa upana zaidi mimi si muumini wa dini yoyote ile. And i know about Jesuit and who is Papa in it. Bahati mbaya zaidi mimi sio mtu mwenye kufungwa na convictions zozote. Nimeuliza mwandishi wa hicho kitabu ni nani, lengo langu nikitafute nikipitie.
 
David ickle ndio mwandishi.
 
watu wakiambiwa warudi kwa mizimu. ya mababu zao wanapuuza, endeleeni kuabudu miungu. ya watu wengine, kabla ya hizi dini Babu na bibi zetu waliishi na ibada zao walikuwa wakiomba na kujibiwa maombi yao hasa ya kijamii kama vile mvua na mambo mengine
 
Sawa mkuu,nisamehe.Ila si unajua some people in JF ni wabishi sana.Sasa ulipouliza mwandishi ni nani, nilidhani kuna waandishi ambao unajua wana-andika fake news kuhusu the Vatican, na hivyo kujua huyo mwandishi ingekuwezesha kujua whether the information is fake or not.
 
Majamaa haya huwa hayajitambuagi, wanayaelewesha ufahamu hakuna! Roho wa Mungu hamumjui/hamumkubali nani atawasaidia kumjua shetani na ujanja wake? Eti dini 1 ndivyo Mungu alivyosema au unakaririshwa? Huko imani ilikotokea kapepo ka korona kamewaua hata Mwenye nguvu ya kukakemea hakuna, eti dini kubwa unamwabudu nani? Jitambueni mnatia aibu!
 
Hakuna tabu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…