Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

sometimes ukiangalia unaweza ukaona hivi

View attachment 1720899
Lakini hakuna claims nyingi ziko juu ya nyoka na Si aliens

Kingine wanachokuja nacho juu hawa walalamikaji ni Figure ya Bwana yesu pale ndani ....

Kumbuka uhusushwaji ,wa mapapa na Priory of sion Ndiyo mwiba wa Fununu hizi zote
 
Hujafunuliwa Ile kweli,na kuna siku kweli itakuwa ndani yako utaujua ukatoliki.ila utakuwa umechelewa sana.
Yaani ni miaka zaidi ya ishirini huwa naambiwa hivyo na Waprotestant Wewe ni mtu km wa mia moja unatumia mbinu hiyo hiyo.Pole Sana kwasababu mimi ninawaona kuwa wajinga tu msioelewa Mambo ya Imani.Mngekuwa waelewa wa Mambo ya Imani msingehangaika na Kanisa Katoliki.Falsafa inatuambia kuwa Kila binadamu Kuna kitu anakiamini,A human being is a religious being.Sasa utakuwa kivuruge kudhani kuwa Imani au dini yako ni Bora kuliko ya mwingine .
 
Hivi kwa nini hawa RC wana mambo mengi ya kutilia shaka hivi?
 
Utajuaje wakati husomi wala hutafuti maarifa?
 
Upotishaji mkubwa, nathubutu kukuita mdini na MPUMBAVU.
 
NI JOKA KABISA KABISA, HAWA NI MASTER MIND SANA. UNAHITAJI AKILI NYINGI KUELEWA WANACHOMAANISHA HATA KAMA AKIWA WANALIA MACHOZI YA DAMU
 
Miembe ya tangamano ilikuwa ikionekanika picha ya nyerere...
 
Mkuu hii Dunia ina mengi sana

Tatizo tushapangiwa vichache Tunavyotakiwa kujua na ndio Tumevijua hivyo tu
Ni kama Ile star iliyo kwenye bendera ya Israel. Waaambiwa eti ni STAR OF DAVID. Lakini ukweli wala sio hivyo. Tunaishi kwenye uongo mwingi
 
Hi ya kanisa ni moja takatifu katoliki la mitume huaga mnaitoa wapi? Someni Biblia, hakuna kitu cha namna hiyo, soma mwanzo hadi ufunuoa, HAKUNA. This is why sikupenda sana somo la historia shuleni, historia sometimes watunzi huiweka ili ku sweet matakwa yao. Fikiria yule mwamba aliyetoa kwamba Binadamu tunatokana na Nyani, na yenyewe nayo ni historia, tukaamini kumbe ukianza kujiuliza maswali unaona kabisa kwamba pale tulipigwa; mbona Nyani wa sasa hvi hawabadiriki na kua binadamu? Well, tafuta kujua vizuri historia ya Ukristo, utagundua huo unao usema UKATOLIKI uliingizwa na wana siasa ili kutawala vizuri dunia na wala wenyewe hao wana siasa hawakua Wakristo. But anyway, cause ni historia, nashauri soma Biblia tu
 
Mkuu kuna conspiracies nyingi sana kuhusu kanisa katoliki..
Usipokuwa mtu wa kuchuja habari, utameza kila kitu...
Nilichojaribu kuelezea hapo ndo ninachokijua, sina vinasaba na Ukatoliki ila jamaa wanasingiziwa mambo mengi sana ambayo ukifuatilia ni hoax tupu.

Ngoja @MTAMZAMO Apite hapa atupe ufafanuzi wa ilo la MISALI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…