Ukurasa wa Hayati Magufuli umefungwa kama zilivyofungwa za wengine

Kuna watu wasiojielewa wamejitokeza na kutaka ionekane Mheshimiwa Marehemu Rais Magufuli yupo hai, tuseme tu Mheshimiwa Magufuli amefariki na kuzikwa Rasmi, kwao Chato ni rais wa tatu kuzikwa wakwanza akiwa Karume, wapili Nyerere na Magufuli anaifanya idadi iwe ya watatu...
Umemtaja Karume umewaacha, Mahayati Ben Mkapa, IDRISSA ABDUL WAKIL (Kafariki 2000) , ABOUD JUMBE (Kafariki 2016)
 
Tatizo wengi ni wavivu na wamejivisha unyonge; wanatamani marehemu aamke aje awatetee...
#Shame
 
Kuna watu wasiojielewa wamejitokeza na kutaka ionekane Mheshimiwa Marehemu Rais Magufuli yupo hai, tuseme tu Mheshimiwa Magufuli amefariki na kuzikwa Rasmi, kwao Chato ni rais wa tatu kuzikwa wakwanza akiwa Karume, wapili Nyerere na Magufuli anaifanya idadi iwe ya watatu...
Mbona mnahangaika hivi na mtu aliekwisha tangulia..hahaha..ila JPM was the real deal..kuna mabogus wengi sana tz..na angamalizia ngwee yake..mngenyoroshwaa kwel kwel..wez wa msoga..nyieee
 
Kuna watu wasiojielewa wamejitokeza na kutaka ionekane Mheshimiwa Marehemu Rais Magufuli yupo hai, tuseme tu Mheshimiwa Magufuli amefariki na kuzikwa Rasmi, kwao Chato ni rais wa tatu kuzikwa wakwanza akiwa Karume, wapili Nyerere na Magufuli anaifanya idadi iwe ya watatu...
Dah kweli walimu walikuwa na kazi yaani hata sijaelewa kabisa.

Bujibuji labda utafsiri kinyakyusa
 
Kuna watu wasiojielewa wamejitokeza na kutaka ionekane Mheshimiwa Marehemu Rais Magufuli yupo hai, tuseme tu Mheshimiwa Magufuli amefariki na kuzikwa Rasmi, kwao Chato ni rais wa tatu kuzikwa wakwanza akiwa Karume, wapili Nyerere na Magufuli anaifanya idadi iwe ya watatu...
Kama Ukurasa wa Hayati Magufuli umefungwa na hutaki wengine wachangie, mbona wewe umeufungua?
 
Afu umefungwa haraka mno, laah!! masuala ya Legacy za marehemu, maneno kama Mabeberu, Nyugu etc.... hakuna.
 
Kuna watu wasiojielewa wamejitokeza na kutaka ionekane Mheshimiwa Marehemu Rais Magufuli yupo hai, tuseme tu Mheshimiwa Magufuli amefariki na kuzikwa Rasmi, kwao Chato ni rais wa tatu kuzikwa wakwanza akiwa Karume, wapili Nyerere na Magufuli anaifanya idadi iwe ya watatu...
Umemsahau Ben Mkapa
 
mbona unasisitiza nawewe umewaamini hao watu,ambao hata hawajulikani ni akina nani na ni wapi waliyasema hayo!!!

JPM ni rais wa 5 kufariki sio wa tatu.

karume,nyerere,alli juma,mkapa,jpm.
ni kama wewe ndio unasema hapa,kwamba jpm bado yuko hai.
Huyo Rais Ally Juma ni wa wapi?
 
Case closed!

Kuna watu wasiojielewa wamejitokeza na kutaka ionekane Mheshimiwa Marehemu Raisi Magufuli yupo hai,tuseme tu Mheshimiwa Magufuli amefariki na kuzikwa Rasmi, kwao Chato ni rais wa tatu kuzikwa wakwanza akiwa Karume, wa pili Nyerere na Magufuli anaifanya idadi iwe ya watatu.
Akishakuwa Marehemu, hakuna mjadala tena. Yeye ni Mwendazake. Period.
 
Kuna watu wasiojielewa wamejitokeza na kutaka ionekane Mheshimiwa Marehemu Rais Magufuli yupo hai, tuseme tu Mheshimiwa Magufuli amefariki na kuzikwa Rasmi, kwao Chato ni rais wa tatu kuzikwa wakwanza akiwa Karume, wapili Nyerere na Magufuli anaifanya idadi iwe ya watatu...
Unataka kutulazimisha tumsahau??
 
Kuna watu wasiojielewa wamejitokeza na kutaka ionekane Mheshimiwa Marehemu Rais Magufuli yupo hai, tuseme tu Mheshimiwa Magufuli amefariki na kuzikwa Rasmi, kwao Chato ni rais wa tatu kuzikwa wakwanza akiwa Karume, wapili Nyerere na Magufuli anaifanya idadi iwe ya watatu...
Nafikiri atakuwa wa nne,, KARUME, NYERERE, MKAPA NA MAGUFULI

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom