Ukurasa wa Hayati Magufuli umefungwa kama zilivyofungwa za wengine

Kuna watu wasiojielewa wamejitokeza na kutaka ionekane Mheshimiwa Marehemu Rais Magufuli yupo hai, tuseme tu Mheshimiwa Magufuli amefariki na kuzikwa Rasmi, kwao Chato ni rais wa tatu kuzikwa wakwanza akiwa Karume, wapili Nyerere na Magufuli anaifanya idadi iwe ya watatu.

Tusiwe wajinga kama watu tulikosa muelekea japo chini ya CCM ndivyo wanavyotaka tuone hivyo,imekuwa mtu akifanya hivi au vile anaogopa au anavunja ,anapinga maneno maneno mengi ya kuvunjana moyo na mtu aonekane anenda kinyume na Magufuli.

Kama mtu akifanya kazi kwa kumuogopa Magufuli, Rais Magufuli ameishafariki na hatorudi tena na kama mtu akifanya kazi kwa mujibu wa sheria za nchi basi sheria zipo na zinafanya kazi yake kwa mujibu wa mazingira ya kutumiwa sheria hizo.

Ndio mara nyingi tunasikia kazi iendelee, kama ulikuwa unamtegemea Magufuli kwa mabaya au mazuri yako, unatakiwa ujue kuwa Magu ameishafariki kitambo. Ulikuwa mwizi ulikuwa kiongzi bora, waliopo hawatafanana na yeye na kuendelea kukulinda kama ilikuwa hivyo na inaoenakana wengi wameanza kupata tabu baada ya kufariki Magufuli, kama walitegemea kuwakingia kifua au kuwavunja kifua sasa hofu zimetawala na faraja imekuwepo.

Tusiwe kama tuliogandishwa kila kitu Magu,siku mtu anapokufa kama hamuelewi ndio na yeye mambo yake yote husimama isipokuwa yatakayompa faida ni yale mema na hayo hayahusiani na sisi tuliokuwepo hai.
Tena wako wengi sana
 
Mkuu na mkapa pia alikua raisi , pia nae hatunae tena
 
Mitano tena kwa mama akimaliza mitano tunamuongeza mitano tena.
Bei ya korosho itakuwa nzuri Sana mwaka huu Manji amerudi karubuni kusini kuchelee,muwahi kuweka booking za guest zitajaa nawashauri tu
 
Ukishaondoka duniani na historia yako imefungwa.
Nchi sio mtu bali watu.Na Hakuna gari inayoweza paki kwa kukosa dereva
 
Kuna watu wasiojielewa wamejitokeza na kutaka ionekane Mheshimiwa Marehemu Rais Magufuli yupo hai, tuseme tu Mheshimiwa Magufuli amefariki na kuzikwa Rasmi, kwao Chato ni rais wa tatu kuzikwa wakwanza akiwa Karume, wapili Nyerere na Magufuli anaifanya idadi iwe ya watatu.

Tusiwe wajinga kama watu tulikosa muelekea japo chini ya CCM ndivyo wanavyotaka tuone hivyo,imekuwa mtu akifanya hivi au vile anaogopa au anavunja ,anapinga maneno maneno mengi ya kuvunjana moyo na mtu aonekane anenda kinyume na Magufuli.

Kama mtu akifanya kazi kwa kumuogopa Magufuli, Rais Magufuli ameishafariki na hatorudi tena na kama mtu akifanya kazi kwa mujibu wa sheria za nchi basi sheria zipo na zinafanya kazi yake kwa mujibu wa mazingira ya kutumiwa sheria hizo.

Ndio mara nyingi tunasikia kazi iendelee, kama ulikuwa unamtegemea Magufuli kwa mabaya au mazuri yako, unatakiwa ujue kuwa Magu ameishafariki kitambo. Ulikuwa mwizi ulikuwa kiongzi bora, waliopo hawatafanana na yeye na kuendelea kukulinda kama ilikuwa hivyo na inaoenakana wengi wameanza kupata tabu baada ya kufariki Magufuli, kama walitegemea kuwakingia kifua au kuwavunja kifua sasa hofu zimetawala na faraja imekuwepo.

Tusiwe kama tuliogandishwa kila kitu Magu,siku mtu anapokufa kama hamuelewi ndio na yeye mambo yake yote husimama isipokuwa yatakayompa faida ni yale mema na hayo hayahusiani na sisi tuliokuwepo hai.
Tuendelee na kazi huyo kashafutika ktk uso wa dunia. Ukilalamika ukilia hakubadilishi chocjote
 
Mm ndio naufungua rasmi sasa....
 
Back
Top Bottom