Ukurasa wa Serikali 'Tanzania Government' uliotumika kutangaza kutafutwa Kigogo2014, wafutwa

Ukurasa wa Serikali 'Tanzania Government' uliotumika kutangaza kutafutwa Kigogo2014, wafutwa

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,419
Baada ya kuona tangazo la zawadi nono kwa atakayefanikisha kutiwa nguvuni Kigogo2014, nili'follow' ukutasa huo ili nifatilie kinachoendelea.

Lakini baada ya muda mfupi, ukurasa huo haupatikani tena. Ama kweli tumekosa 'zawadi nono' kwa atakaempata kigogo2014.
165361685_114701934037364_6306242038596490192_o.jpg
 
Kigogo hakamatiki! Kangi Lugola alijiapiza, lakini mpaka anatumbuliwa na bosi wake, alishindwa kumtia mikononi!

Dawa sahihi ni kwa serikali mpya kukibali tu kubadilika. Rais avunje Baraza la Mawaziri. Airudishe Nchi katika misingi sahihi ya kiutawala, na mwisho wa siku huyo Kigogo atapoteza mashabiki na kupotea kabisa.
 
Sio kigogo ni vigogo

Ili wapotee inabidi mrithi wa Mh. Jpm awalipe fidia ya nyumba zao pale mbezi.
 
Kwa mwenye akili anajua hiyo ni michezo ya Kigogo mwenyewe, anataka kujiongezea nguvu aonekane mtu mzito sana.

Serikali ingetaka kutangaza wangetumia structure yake inayoeleweka wangemtumia msemaji wa jeshi la polisi au account za tanpol ambazo mpaka sasa zipo kimya hazijasema lolote.

Yani taarifa imetangazwa Jumamosi na account imefutwa usiku hahahaha jamani serikali haifanyi mambo yake namna hiyo acheni upumbavu wa kumeza kila tango.

Washawajua watanzania mnapenda sana udaku na mpo radhi kuupambania udaku uwe ukweli kwa kuwa tu mnaupenda.

Kuna baadhi walifananishwa na nyumbu kwa mahaba yao yaliyopitiliza.
 
Kwahiyo jamaa akaunda akaunti ya Tanzania Government na akatoa kila uthibitisho mpaka akaunti ikawa verified with a blue tick? Kwamba hii akaunti inawakilisha Serikali ya Tanzania.

Hivi unaona matundu ya logic yako? Kwa logic yako hiyo inamaanisha jamaa ana credentials necessary za serikali ya Tanzania na anaweza kuzitumia kupata verification katika social networks.

Na kisha serikali haijaukana huo ukurasa kwamba siyo wao na wala haijaukubali ila ukurasa umefutwa tu.
 
Kwahiyo jamaa akaunda akaunti ya Tanzania Government na akatoa kila uthibitisho mpaka akaunti ikawa verified with a blue tick? Kwamba hii akaunti inawakilisha Serikali ya Tanzani.

Hivi unaona matundu ya logic yako? Kwa logic yako hiyo inamaanisha jamaa ana credentials necessary za serikali ya Tanzania na anaweza kuzitumia kupata verification katika social networks
Matundu tena
 
Huo siyo ukurasa wa serikali kama ni wa serikali ulidukuliwa ujue

Huyu jamaa anataka kujipaplish kuwa ni mtu mkubwa sana kuliko serikali nyingi
 
Aisee hii nchi kuna visa vya ajabu sana.

Hivi huyo jamaa sijui kigogo, aliwaaminisha watu kiwa ugomvi wake na marehemu ilikuwa kuvunjiwa nyumba ila tumeona anaingilia mpaka serikali ya awamu hii na ameapiza kuichokonoa endapo haitaruhusu haki ya kujieleza.

What a shame like this, hao sinui vigogo wanafahamika na kuna vijana hapo TCRA wapo tayari kutoa ushirikiano kwa kitengo cha siri cha tiss au jeshi kuelezea ukweli wa huyo jamaa.
 
Mzee yule sio watu wengi ni mmoja tu kama unabisha nenda kamuulize kuhusu MANCITY .

Haiwezekani taasisi nzima ishabikie team moja boss
Haha swali likitoka anachaguliwa mtabe wa kujibu ha ha ha ile inaitwa MVURUGO STYLE we angalia muda wote yupo online hujiulizi
 
Kwahiyo jamaa akaunda akaunti ya Tanzania Government na akatoa kila uthibitisho mpaka akaunti ikawa verified with a blue tick? Kwamba hii akaunti inawakilisha Serikali ya Tanzania.

Hivi unaona matundu ya logic yako? Kwa logic yako hiyo inamaanisha jamaa ana credentials necessary za serikali ya Tanzania na anaweza kuzitumia kupata verification katika social networks.

Na kisha serikali haijaukana huo ukurasa kwamba siyo wao na wala haijaukubali ila ukurasa umefutwa tu.
Hakuna matundu wewe kwa kuwa unapenda udaku ndio maana upo kwenye denial.

Serikali haifanyi mambo yake kupitia Facebook ingetaka kumtafuta kuna vyombo vyake ingetumia kuutangazia umma. Hiyo ni michezo ya Kigogo mwenyewe lakini nitasema nini unielewe na ameshaiteka akili yako.
 
Back
Top Bottom