Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
NI KIKUNDI NDANI YA WHITE HOUSE ambacho kwa sasa kitakula neeema ya nchi bila bugKwani Kigogo ndo Nani?
Bwana fulaniKwani Kigogo ndo Nani?
Hii Game Wanaijua,Wanatupofusha Tu Macho!NI KIKUNDI NDANI YA WHITE HOUSE ambacho kwa sasa kitakula neeema ya nchi bila bug
udha.
ππBwana fulani
Sio kigogo ni vigogoKigogo hakamatiki! Kangi Lugola alijiapiza, lakini mpaka anatumbuliwa na bosi wake, alishindwa kumtia mikononi!
Dawa sahihi ni kwa serikali mpya kukibali tu kubadilika. Rais avunje Baraza la Mawaziri. Airudishe Nchi katika misingi sahihi ya kiutawala, na mwisho wa siku huyo Kigogo atapoteza mashabiki na kupotea kabisa.
Kwahiyo jamaa akaunda akaunti ya Tanzania Government na akatoa kila uthibitisho mpaka akaunti ikawa verified with a blue tick? Kwamba hii akaunti inawakilisha Serikali ya Tanzania.Kwa mwenye akili anajua hiyo ni michezo ya Kigogo mwenyewe, anataka kujiongezea nguvu aonekane mtu mzito sana.
Serikali ingetaka kutangaza wangetumia structure yake inayoeleweka wangemtumia msemaji wa jeshi la polisi au account za tanpol ambazo mpaka sasa zipo kimya hazijasema lolote.
Yani taarifa imetangazwa Jumamosi na account imefutwa usiku hahahaha jamani serikali haifanyi mambo yake namna hiyo acheni upumbavu wa kumeza kila tango.
Washawajua watanzania mnapenda sana udaku na mpo radhi kuupambania udaku uwe ukweli kwa kuwa tu mnaupenda.
Kuna baadhi walifananishwa na nyumbu kwa mahaba yao yaliyopitiliza.
Man city na yangaMzee yule sio watu wengi ni mmoja tu kama unabisha nenda kamuulize kuhusu MANCITY .
Haiwezekani taasisi nzima ishabikie team moja boss
Au wewe ndio ume ufuta unasababisha tukose pesa!π€π€π€
Matundu tenaKwahiyo jamaa akaunda akaunti ya Tanzania Government na akatoa kila uthibitisho mpaka akaunti ikawa verified with a blue tick? Kwamba hii akaunti inawakilisha Serikali ya Tanzani.
Hivi unaona matundu ya logic yako? Kwa logic yako hiyo inamaanisha jamaa ana credentials necessary za serikali ya Tanzania na anaweza kuzitumia kupata verification katika social networks
Haha swali likitoka anachaguliwa mtabe wa kujibu ha ha ha ile inaitwa MVURUGO STYLE we angalia muda wote yupo online hujiuliziMzee yule sio watu wengi ni mmoja tu kama unabisha nenda kamuulize kuhusu MANCITY .
Haiwezekani taasisi nzima ishabikie team moja boss
Hakuna matundu wewe kwa kuwa unapenda udaku ndio maana upo kwenye denial.Kwahiyo jamaa akaunda akaunti ya Tanzania Government na akatoa kila uthibitisho mpaka akaunti ikawa verified with a blue tick? Kwamba hii akaunti inawakilisha Serikali ya Tanzania.
Hivi unaona matundu ya logic yako? Kwa logic yako hiyo inamaanisha jamaa ana credentials necessary za serikali ya Tanzania na anaweza kuzitumia kupata verification katika social networks.
Na kisha serikali haijaukana huo ukurasa kwamba siyo wao na wala haijaukubali ila ukurasa umefutwa tu.