Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Najua wazi viongozi wengi wa kisiasa wana vijembe sana. Wapo niliowahi kukutana nao na kushuhudia mwenyewe majibu yao yasiyo na staha. Lakini linapokuja suala la maadili, ifike mahali tuambiane ukweli.
Kwa majibu haya ya kejeli nina wasiwasi na anayetoa majibu hayo. Ni yeye kweli au kuna mtu anamjibia?
Kwa majibu haya ya kejeli nina wasiwasi na anayetoa majibu hayo. Ni yeye kweli au kuna mtu anamjibia?