Hatari sana.Anapenda kupiga picha akiwa kwenye maakuli jimboni kwake, halafu pia sijawahi kuona anapiga picha akiwa kanisani jimboni kwake!
Unamuonea.Nape ni "a born-free character"Ndivyo alivyo.duh
kiukweli mimi kwa ypande wangu sijawahi kuona kiongozi mjinga na asiyejitambua kama huyu
huyu sio kiongoziNajua wazi viongozi wengi wa kisiasa wana vijembe sana. Wapo niliowahi kukutana nao na kushuhudia mwenyewe majibu yao yasiyo na staha. Lakini linapokuja suala la maadili, ifike mahali tuambiane ukweli.
Kwa majibu haya ya kejeli nina wasiwasi na anayetoa majibu hayo. Ni yeye kweli au kuna mtu anamjibia?View attachment 2584893View attachment 2584894
Sio yeye tu. Wapo wengi. Baadhi ya viongozi wa kisiasa wana majibu ya hovyo, sema huyy kashindwa kujizuia hadi mtandaoni.duh
kiukweli mimi kwa ypande wangu sijawahi kuona kiongozi mjinga na asiyejitambua kama huyu
Msiwachokoze ili mpate ya kuwasimwnga.Sio yeye tu. Wapo wengi. Baadhi ya viongozi wa kisiasa wana majibu ya hovyo, sema huyy kashindwa kujizuia hadi mtandaoni.
Ukiwaona hutaamini kama kweli ni wao. Hata huyo nape, kuna siku nilikutana naye mahali nikamwambia jambo fulani (la kisiasa) jibu alilonipa, aisee, sikutarajia.
Kuna wengine wengi.
Japo wapo wachache ni wastaarabu na waungwana sana akiwemo Jaffo. He is very humble!
Mwenye ukaribu na nape mwambie awe muungwana na mstahimilivu, atafika mbali sana.
Hapo Mimi naona vitu vitatu naomba nisimukuliwe vibaya ila namba 1 daah au basi acha nisiseme mdomo koma sina mwanasheria mimiNajua wazi viongozi wengi wa kisiasa wana vijembe sana. Wapo niliowahi kukutana nao na kushuhudia mwenyewe majibu yao yasiyo na staha. Lakini linapokuja suala la maadili, ifike mahali tuambiane ukweli.
Kwa majibu haya ya kejeli nina wasiwasi na anayetoa majibu hayo. Ni yeye kweli au kuna mtu anamjibia?View attachment 2584893View attachment 2584894
[emoji28] yaani mimi nikiwa kiongoz mnipokonye cm na uhai... Mtu aniandikie upuuzi siwezi kumjibu kama parishworker au muinjilisti... Nakupa majibu makavu... Yaani uwaziri wangu uliotokana na ubunge ndio unifanye niwe mpole..?!
Mwislamu akapige picha Kanisani?Anapenda kupiga picha akiwa kwenye maakuli jimboni kwake, halafu pia sijawahi kuona anapiga picha akiwa kanisani jimboni kwake!
Magufuli aliingiza wahuni wengi sana Bungenihuyu sio kiongozi
huyu ni muhuni tu