Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mfupi hivyo?Wakuu, huu ukuta upo kikuyu dodoma, Ni wa taasisi gani?
Jeshini hapo halafu umekosea kuupiga picha ni boara ungeelezea tu kwa sasa watakutafutaWakuu, huu ukuta upo kikuyu dodoma, Ni wa taasisi gani?
Jeshini hapo halafu umekosea kuupiga picha ni boara ungeelezea tu kwa sasa watakutafuta
[emoji23][emoji23]Ardhi ya Mbowe hiyo, matunda ya ruzuku
Wakuu, huu ukuta upo kikuyu dodoma, Ni wa taasisi gani?
Acha mawazo ya kibaguziUngepeleka WhatsApp groups za wagogo wenzio ama wakazi wa Dodoma ! Sisi wayao huku Tunduru tutajuaje ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂Wagogo Lenu HiloUngepeleka WhatsApp groups za wagogo wenzio ama wakazi wa Dodoma ! Sisi wayao huku Tunduru tutajuaje ?
Kama hujui unapita hivi 🚶🚶unawaacha wanaojua wajibu, unasubiri swali kuhusu wayao na tunduru yenu unajibu .... simpleUngepeleka WhatsApp groups za wagogo wenzio ama wakazi wa Dodoma ! Sisi wayao huku Tunduru tutajuaje ?
Kama hujui unapita hivi [emoji124][emoji124]unawaacha wanaojua wajibu, unasubiri swali kuhusu wayao na tunduru yenu unajibu .... simple
[emoji23][emoji23][emoji23]Ungepeleka WhatsApp groups za wagogo wenzio ama wakazi wa Dodoma ! Sisi wayao huku Tunduru tutajuaje ?
Kama hajaelewa hii kauli basiKunajengwa kiwanda cha kushona kahunda suti, kutengeneza miwani tinted na hedi foni.
Karibu uhudumiwe.
Wayao? Ni kabila jipya au ndio wanyamwanga? Sijawahi kulisikia kablaUngepeleka WhatsApp groups za wagogo wenzio ama wakazi wa Dodoma ! Sisi wayao huku Tunduru tutajuaje ?