Ukuta wangu umepatwa na Ugonjwa huu, naomba msaada

Mbona hatuuoni.. Enewei nunua rangi mpya paka

KichWa BoX
 
Magadi hayo... Hapo itabidi urudie kupiga plasta yenye cement nyingi ndio pona yake
 
Huu ni ugonjwa gani wa kuta za nyumba na unatibiwaje?

Naomba msaada tafadhali!

View attachment 1802570
Sikuiona hiyo picha kabla....
Matibabu gharama kidogo.
Kwanza kwangua hiyo sehemu yote alafu uskim smooth thin layer kwa ultra flex 2 (ipo liquid na powder yake unazichanganya pamoja).
Ikisha kauka skim tena na white cement ili iwe rahisi kupiga msasa then paka rangi zako

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…