Ukuzaji maumbile ya kiume

Ukuzaji maumbile ya kiume

Mhujumu Uchumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
1,541
Reaction score
3,521
Habarini ndugu,ningependa kujua ni njia gani sahihi naweza kuitumia kuongeza ukubwa wa maumbile yangu ya kiume kwani ni madogo na yananiathiri sana kisaikolojia kila ninapoyafikilia
 
Habarini ndugu,ningependa kujua ni njia gani sahihi naweza kuitumia kuongeza ukubwa wa maumbile yangu ya kiume kwani ni madogo na yananiathiri sana kisaikolojia kila ninapoyafikilia

Kuna Dawa zinauzwa pharmacy lakini nakushauri kamuone Doctor kwanza . Hizo niliziona majuu , sasa sijui Bongo land hapo zipo au. Pole ndugu usijisikie vibaya, kuwa na kujiamini . Na kuwa comfortable na jinsi ulivyoumbwa . Asante.
 
Huo udogo huenda unakuathiri zaidi wewe kuliko mkeo, au naye alishakwambia kuwa dushe yako kibamia?! mwenye kujua tonge ni kubwa au dogo si mbugiaji?..au? Ah, samahani nilikuwa napita tu!
yap even my girlfrend alishawahi kunidokezea juu ya hili na kama haitoshi allete vimbwanga hadi tukabwagana
 
Achana na hiyo kitu!Alichokupa Mungu shukuru tu kwani hata kama utakosa heshima kwa mke na Mungu mwenyewe akakuheshimu bado huna hasara.Mitihani kama hiyo majibu yake anayo Mungu pekee!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom