Ukwaju ni kiboko ya kitambi

Hiyo hoja na mimi nimeishangaa sana mkuu
Ahahahh usishangae mkuu ni ukweli unaopingika tu lakini watu wanaelewa ukweli...

ukiwa na kitambi huwezi kupata choo timamu kwa siku kutokana na kinyesi kuganda kwenye utumbo ambao umegandwa na mafuta mabaya kwenye kuta zake...

sasa kinyesi hakiwezi kupita kwa ukamilofu lazima kikwame kwenye yale mafuta na hyo ni process ya kila siku..

na kile kinyesi kikiganda masiku na masiku kwenye yale mafuta nacho kinabaki hapo daima na huku nje watu tunaona jamaa mambo supa kumbe ni mlundikano wa kinyesi kwenye utumbo mpana....

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
yani ni jambo haliwezekani eti ufanye mazoezi kisha mlo wako haujabadili ulaji alafu kitambi kiondoke?????


fanya mazoezi na kule mlo salama...
mazoezi pekee hayawezi kuondoa kitambi never...

ndyo mana wanaoshauri kufanya mazoezi hushauri na kubadili mfumo wa chakula...

kwa sababu kile kitambi asilimia kubwa kilitengenezwa na vyakula sasa lazima katika kukiondoa nacho chakula kichangie tena kwa asilimia kubwa....

uzuri wa mazoezi ukizoea na kula mlo kamili salamabasi kitambi hakirudi tena kamwe
 
Hoja yako ya mrundikano wa kinyesi tumboni ambao tunaweza kuuita Constipation na suluhu yake uliyosema inatatuliwa na ukwaju sijaikataa.

Mimi nimekataa hoja ya hicho kinyesi kusababisha kitambi, hivyo ndivyo wadau kadhaa wameipinga hii hoja.

Unajua jinsi kitambi kinavyotengenezwa mwilini?
 
mkuu mwifa yani nilichomaanisha ni kwamba.

kuganda kwa mafuta mengi katika utumbo mpana ni sababu kuu ya kuanza kupata kitambi kwa sababu mafuta yanapoganda katika kuta za utumbo lazima yachukue nafasi

kisha siku zikienda na mlo wako ni ule ule na utaratibu ni ule ule hapo mafuta yatachukua nafasi zaidi na zaidi na kufanya utumbo kupanuka na hukj tumbo likiongezeka ukubwa...

utumbo unapogandwa na mafuta ni wazi kwamba njia haiko salama kupitisha uchafu ..

matokeo yake uchafu haupiti kwa ukamilifu wake ndipo unapelekea kuganda kwenye mafuta ambayo yamejishikiza kwnye kuta za tumbo..na huu uchafu ukiwa unakwamba kila siku lazima uchukue nafasi nao na kufanya tumbo kuongezeka ukubwa...

na ndyo maana wenye vitambi wengi hunya kwa tabu sana..
 
Kingine, wale wanaotumia dawa za kitoa vitambi wakinywa zile dawa wanashauriwa wawe karibu na choo maana ni full kunya miharisho.
 
Inakutisha nini sasa, uchungu!? Mi napiga sana hiyo kitu! Unaweza kuchanganya na asali kidogo ili uizoee radha, baadae unaacha kuweka asali kabisa ili iingie vizuri[emoji18] [emoji18] [emoji18]
Umepata faida gani so far mkuu?
 
Daaah we jamaa hivi upo form ngapi kwanza? maana hi biology yako ni ya chini ya mti kabisa
 
Kitambi=kinyesi kilichoganda tumboni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi huwa mnaelewa mnachokiandika?
mkuu huwenda wewe ndo huelewi unachosoma...
 
Njia za kuondoa kitambi ni mbili, upasuaji na mazoezi, haya mengine ni uongo mwingine huu
Hapana boss kuna kitu unanyonya mafuta balaaa, unaloweka tu miguu then acha mashineifanye kazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…