Ukwaju ni kiboko ya kitambi

Ukwaju ni kiboko ya kitambi

Naweza kusema nakula hivyo ulivyosema, Ila mazoezi nimeacha kwasababu ya muda, still ngoma inapanda juu tu. Pombe sinywi often ni occasional drinker
Sahani inajaa vipi? Unaweza kula vijiko viwili vikubwa wali ukwaeka na mchicha vijiko vinne
 
Sahani inajaa vipi? Unaweza kula vijiko viwili vikubwa wali ukwaeka na mchicha vijiko vinne
Sahani haijai naweza kusema flat kabisa yani mboga nyingi, juice sinywi na soda sinywi. Ni maji na chakula tu. Breakfast nayo sometimes sili naweza kunywa maji tu nikatoka.
 
Sahani haijai naweza kusema flat kabisa yani mboga nyingi, juice sinywi na soda sinywi. Ni maji na chakula tu. Breakfast nayo sometimes sili naweza kunywa maji tu nikatoka.
Breakfast ni mlo muhimu wa siku kheri uruke lunch. Fikiria umekula saa mbili usiku, wakati umelala ubongo ulikuwa bado unakula chakula. Ukiamka unahitaji uustue tena.
 
Breakfast ni mlo muhimu wa siku kheri uruke lunch. Fikiria umekula saa mbili usiku, wakati umelala ubongo ulikuwa bado unakula chakula. Ukiamka unahitaji uustue tena.
Mimi dinner nakula saa 12 hadi saa 1 jioni, baada ya hapo ni maji kisha nalala. Shida yangu ni hii extended belly, nilidhani gas. Sina H.Pyroli nimefanya endoscopy niko safi. Napata choo laini na cha kawaida, frequency ina vary lakini hilo hata picha za CT-scan na MRI zinaonyesha sina mrundikano wa uchafu but why kitambi?
 
Mimi dinner nakula saa 12 hadi saa 1 jioni, baada ya hapo nimaji kasha nalala. Shida yangu ni hii extended belly, nilidhani gas. Sina H.Pyroli nimefanay endoscopy niko safi. Napata choo laini na kawaida frequency ina vary lakini hilo hata picha za CT-scan na MRI zinaonyesha sian mrundikano wa uchafu but why kitambi?
Piga zoezi,
 
Nina green tea ina miezi minne kila nikiwaza kuinywa nikiwaza shughuli yake na muda wa kuinywa mpaka vitu vyote viishe nashindwa. Nitajaribu juice ya ukwaju.
Naiandaaje kwanza?
Inatengenezwaje hii green tea,sweet Mzigua maana huwa natamani Sana kuwa mdau
 
Na juice ya mabungo vipi nayo ina udambwidambwi?, ...mimi huwa natumia sana ya tende inachanganywa na maziwa....hiyo nyoko aisee... ni mwendo wa kutupia kambani mwanzo mwisho..huku mwili ukiwa zile 3B....
..Ball control
...Ball Balance
...Ball Stamina.
Nashauri wale wazee wa Daly Kimoko...tusikose kuitumia...
Mkuu una matatizo ya nguzu za kiume?
 
Daah. Nimeletewa ukwaju wa kutosha hapa na nilitaka nitengeneze juice kwa ajili ya familia lakini kumbe kuna kuharusha tena. Basi sitengenezi tena. Watatumia kwenye kutengeneza pilipili na wakati wa kula chips tu
 
Inategemea na tumbo hauharishi mm natumia kuharisha ni mara 1,1 sana ukiunywa ukiwa mchachu bila sukari utaharisha na kuchefuka
 
Mtanzania akinywa kitu tumbo likamchafuka akahara bila kuumwa na tumbo basi anaamini kanywa dawa ya kitambi, kusafisha mfumo wa damu na kuondoa taka mwilini 😂😂

Wakuu mtakuja kufa kwa maradhi yasiyoumiza mwili, shauri yenu.
 
Back
Top Bottom