- Thread starter
- #81
Ahahahh usishangae mkuu ni ukweli unaopingika tu lakini watu wanaelewa ukweli...Hiyo hoja na mimi nimeishangaa sana mkuu
ukiwa na kitambi huwezi kupata choo timamu kwa siku kutokana na kinyesi kuganda kwenye utumbo ambao umegandwa na mafuta mabaya kwenye kuta zake...
sasa kinyesi hakiwezi kupita kwa ukamilofu lazima kikwame kwenye yale mafuta na hyo ni process ya kila siku..
na kile kinyesi kikiganda masiku na masiku kwenye yale mafuta nacho kinabaki hapo daima na huku nje watu tunaona jamaa mambo supa kumbe ni mlundikano wa kinyesi kwenye utumbo mpana....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]